Dharau za Rais wa Ukraine ni za level nyingine, anawakoromea Marekani nyumbani kwao. Angalia video

Matokeo yake Trump ndo kadhalilika, alitegemea mteremko kama viongozi wa shithole countries
Hakutumia busara yaani mpaka kamuita Stupid president aisee
Zele kwa lile jicho nilisema anamzaba Kofi Trump
Asingeenda baada ya kuitwa Dictator
 
Huyu alitakiwa awe kichekesho tu na sio Rais
Na Trump kafanya makusudi ili amdhalilishe
Huyo ndo Rais sasa, ulitaka awe kama hawa marais wetu wa shithole countries? Mwamba kavamiwa na Putin hajakimbia anapambana, Trump naye anataka rasilimali za nchi yake kiutapeli mwamba kadinda.
Ila kwa akili zako hizi hata hawa viongozi wetu wa afrika tunawalaumu bure tu, make wanatoka miongoni mwetu na akili ndo hii kama yako.
 
Alichof
Magufuli aliwajua mapema hawa wazungu hakuna kitu cha bure
Alichofanikiwa huyo Magufuli wako ni kutoishi muda mrefu ktk Uraisi, vinginevyo angepakwa mafuta na angelegea kama Bafro kwenye chai.

Wathungu sio watu wathuri wewe.
 
Sawa.

Lakini wakiona wananyanyaswa na USA ni haki yao kuamua kuachana na msaada wa USA na kupigwa katika hizo wiki 3.

Nchi yao, maisha yao, vita yao.

Shida iko wapi?
Shida ni kwamba wasingefika kote huku kama wangemsikikza Russia wao wakakubali kudanganywa. Sasa hivi wamekimbiwa.
 
Shida ni kwamba wasingefika kote huku kama wangemsikikza Russia wao wakakubali kudanganywa. Sasa hivi wamekimbiwa.
Kwa nini unafikiri kuwa wameingia katika vita kwa kukubali kudanganywa na wasingedanganywa wasingeingia katika vita?

Unawezaje kusema hivyo kwa watu wanaotetea ardhi ya nchi yao?
 
Kwa nini unafikiri kuwa wameingia katika vita kwa kukubali kudanganywa na wasingedanganywa wasingeingia katika vita?

Unawezaje kusema hivyo kwa watu wanaotetea ardhi ya nchi yao?
Walishaambiwa wasijiunge na NATO kwa makubaliano kabisa wao wakakaidi.
 
👍
 
You simply couldn't comprehend the tone and body language if US leaders; that was not a diplomatic one. They provoked Zelesky on purpose for him to make some statements they had waited for. Be keen.
 
Upumbavu wake ni kuingia vitani na nuclear powered state which made Hitler shit in his pants.
Last time I checked Russian troops ndio wapo Ukraine, Ukrainians are just defending themselves
 
Last time I checked Russian troops ndio wapo Ukraine, Ukrainians are just defending themselves
Cross check your facts on agreements on West expansion to the East. Continue checking.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…