Dhiki waliyonayo Watanzania inatisha, Waacheni wapewe msaada wa Chakula kuondoa Utapiamlo

Umemjibu vizuri sana asee maadamu yeye yupo Kwa shemeji yake anapata milo 3 tena unaweza kuta ni Milo mibovu tu kazi kulala kwenye sofa anahisi watanzania wote wanakula kama yeye hapa hapa mjini ni wanafunzi wangapi wanashinda njaa mashuleni siku nzima wanashindia maji ya kandoro ni vibajia viwili vitatu hapo hujaenda bado vijijini huko ambapo ndio taabani kabisa

Makorokoro Bondeni usituletee hoja za kichoko hapa hao wamarekani wangeamua kukuwekea ushoga ungekua shoga kitambo sana kwenye hizo ARV unazokunywa wangeshakufanya shoga kitambo sana au hizo ARV unatengeneza wewe na Dada ako hapo Kwa shemeji yako kuna watu mnauzi sana
 
Aiseeeee !!
 
Na uthibitisho mwingine ni tangaza shughuli mtaani halafu weka masinia ya wali na maharage uone watoto na watu wazima watakavyofakamia. Hawa vijana ni wajinga mno.

Amandla...
 
Na uthibitisho mwingine ni tangaza shughuli mtaani halafu weka masinia ya wali na maharage uone watoto na watu wazima watakavyofakamia. Hawa vijana ni wajinga mno.

Amandla...
😆😆😆😆
 
Tanzania hatuna dhiki kuwashinda Sudan na Somalia.Zambia juzi kati wametangaza baa la njaa,iweje sisi watanzania ndio tupewe kipaumbele wakati hatuna njaa kihivyo?Umiza kichwa kufikiri siyo unafikiri kutumia kwa kutumia makalio.
huo mradi wa kulisha mashule sio wa leo wapa jana, una miaka mingi sana,
 
Tanzania hatuna dhiki kuwashinda Sudan na Somalia.Zambia juzi kati wametangaza baa la njaa,iweje sisi watanzania ndio tupewe kipaumbele wakati hatuna njaa kihivyo?Umiza kichwa kufikiri siyo unafikiri kutumia kwa kutumia makalio.
Hiyo baa ya njaa ndiyo ikoje mkuu? Njaa inauzwa kwenye baa?
 
HIcho ni kisgino cha mjomba wako na chako ni hiki!
 
Attachments

  • FB_IMG_1695019307754.jpg
    68.8 KB · Views: 2
Mimi nimeblow kusikia mtu anamchinja mwanawe akampika akala. Unaweza kutafsiri uwezavyo ila hii ni Red alert mbaya na hatari.

Pia ni laana kubwa kwa wanaosababisha dhiki hiyo.
 
Upo sahihi. Huo Michele Mimi mwemyewe nautaka

Tanzania ni nchi masikini sana.
Upo sahihi Tanzania ni masikini sana.

Tembelea maeneo ya mashamani/vijijini watu ni masikini hadi unajiuliza nini kinaendelea hapa? Watu wamefubaa wana njaa hatari.

Hata mijini vijana kwa wazee wanashinda njaa. Wamechoka hawana kitu.
 
Pokeeni mchele jamani , mtaua raia
 
UMEMALIZA KILA KITU. SISI MACCM NI MANAFIQ SANA. NA UNAFIQ WETU NI WA KIWANGO CHA PHD KABISA. MI NAUMIA TU KUWA HAWA USA HAWAJATOA CASH. WANGETOA MSAADA KWA CASH NDO INGEKUWA BOMBA NASI TUNGEPATA CHOCHOTE KITU. WAO WAMETOA MZIGO AMBAO HATUWEZI KUUPIGA JINSI ULIVYO. IMENIUMA SANA.
 
Na kama ingekuwa cash usingesikia kwamba zimeletwa , zingepigwa juu kwa juu
 
Na kama ingekuwa cash usingesikia kwa.ba zimeletwa , zingepigwa juu kwa juu
SASA TUWAAMBIE KWANI NI MTANGAZO YA VIFO?????????????????? CASH TUNGEZIFANYIA KAZI SISI WENYEWE. TUNGEENDA KUNUNUA MCHELE KENYA. NDO LILIKUWA LENGO LETU. SEMA KUNA MBWA AKAWATONYA UBALOZI WAKASEMA HAINA SHIDA BADALA YA PESA WATALETA MCHELE.SISI TULITAKA TUPEWE MSHIKO KISHA TUENDE KENYA KUNUNUA MCHELE AMBAO KENYA WANANUNUA KWETU.
 
Tanzania hatuna dhiki kuwashinda Sudan na Somalia.Zambia juzi kati wametangaza baa la njaa,iweje sisi watanzania ndio tupewe kipaumbele wakati hatuna njaa kihivyo?Umiza kichwa kufikiri siyo unafikiri kutumia kwa kutumia makalio.
Ndo wakuletee ushoga? Yaan mnawaza upuuzi muda wote.
Ushoga uko hapa kabla ya hiyo misaada na mikopo.
Mfyuuuh
 
Hakuna mzungu asiyeijua ccm
 
Tanzania hatuna dhiki kuwashinda Sudan na Somalia.Zambia juzi kati wametangaza baa la njaa,iweje sisi watanzania ndio tupewe kipaumbele wakati hatuna njaa kihivyo?Umiza kichwa kufikiri siyo unafikiri kutumia kwa kutumia makalio.
NYIE MNA NJAAA.....MBONA TUNAWAONA MNA NJAA SANA TU. WEWE MWENYEWE HAPO KWA ULICHOANDIKA UNAONESHA KABISA UNA NJAA.
 
Ndo wakuletee ushoga? Yaan mnawaza upuuzi muda wote.
Ushoga uko hapa kabla ya hiyo misaada na mikopo.
Mfyuuuh
USHOGA UPO HAPA TOKA MIAKA YA 90S HUKO. NA MASHOGA TUNAWAFAHAMU WENGI TU HAPA DAR WALIKUWA HAWAJAWAHI KUVUKA HATA NAIROBI. NI WA TANGA,DAR,ZANZIBAR, MTWARA,LINDI n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…