Dhiki waliyonayo Watanzania inatisha, Waacheni wapewe msaada wa Chakula kuondoa Utapiamlo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tenaa uwape makavu yao kabisaaa.
 
USHOGA UPO HAPA TOKA MIAKA YA 90S HUKO. NA MASHOGA TUNAWAFAHAMU WENGI TU HAPA DAR WALIKUWA HAWAJAWAHI KUVUKA HATA NAIROBI. NI WA TANGA,DAR,ZANZIBAR, MTWARA,LINDI n.k
Bora hata mseme ukweli, tumechoka na uongo wa kipuuzi.
 
maisha yalivyo magumu ila wale ccm wa utumbo mpana watakwambia uchumi umeongezeka.
ukiona mtu anakuja kukuomba pesa ya chakula au chakula ujue nchi imefika pabaya sana.
 
Kupinga huo msaada wa chakula ni tabia ya uchoyo na roho mbaya
 
Kwahyo Makorokoro Bondeni kaathirika [emoji16]
 
Oya nyie tuache masikhara, kosa vyote ila usiombe njaa ya CHAKULA ikupate... Its very hard to handle [emoji24]
 
Watoto zaidi ya milioni kumi wanalala na njaa Marekani.

Itoshe kusema, Watoto wa Kiafrika(African Americans) ndio kabisa wanalala njaa maradufu ukilinganisha na Wamarekani wengine wa kutoka ulaya. Kwanini? Mnafikiri wanawajali watoto wa DODOMA kihivyo?

Tusidanganyane

Kwanini wasianzie huko kwao? kwamba wao hawana dhiki?

Sasa likija suala la Lishe, Watanzania bora wale huu ugali na kisamvu na dagaa mara mia kuliko hivi vyakula ambavyo vimechakachuliwa na kuongezwa virutubisho. Yaani hata huko kwao kuna kampeni kabambe mashuleni watoto wasilishwe vyakula kama hivi wanavyovileta huku kwasababu vimeonekana kusababisha magonjwa mengi tu, pamoja na Utapiamlo.

Ushabiki mwingine ni wa Kishamba tu.

In short hawana ukuu wowote ule ikiwa kwamba wenyewe wanashindwa kujilisha. Ni photo op tu.
 
Tatizo kubwa ni UPIGAJI UPIGAJI UPIGAJIIIII..

Hatuna shida nyingine.
 
Kunamifala humu inajidai inamisimamo LAKINI ikiskia Mchele huo unagawiwa itakimbilia KUOMBA hata kibaba kimoja!! Asiyetaka alale atuliee
 
Ndo maana nilisema hukoo kwamba kama kutuua wacha watuue kwa sababu tumekuwa ni taifa lenye idadi kubwa ya machawa badala ya thinkers na watatua matatizo.

Nchi hii ukiwa na fikra mbadala za maendeleo ndo unakuwa unatembea na tiketi ya kifo mkononi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…