Dhiki waliyonayo Watanzania inatisha, Waacheni wapewe msaada wa Chakula kuondoa Utapiamlo

Ni lini serikali yako imesambaza chakula ?
 
Kuna mheshimiwa anasema maendeleo yamefika pomoni. Magari yenye namba E yametamalaki
 
Wazungu wasingeweza kuleta Chakula Tanzania ikiwa nchi hii inajitosheleza kwa Chakula , wanayo macho na wanaona hali halisi ya Wananchi

Duh..
Halafu huyu kada wa chama cha kijani kaweka bendera kabisa, ukute ndiye balozi wa nyumba 10 hapo ila njaa imemkalia kichwani
 
Mkubwa mmoja alisemaga Dar gari nyingi zina namba E kwahiyo mambo ni supa hakuna shida !

Na wengine wanaweza kununua hekalu Dubai !
Mambo iko byeee!
Tunasemaga sisi Kilingala !

Wazungu wamechukua sana dhahabu zetu na kuturudishia pesa kiduchu miaka mingi sana !
Acheni nao kwa sasa watusaidie !
 
Kusema kweli sisi sio nchi ya kusaidiwa vyakula..

Tunaweza kujitosheleza kwa vyakula wenyewe bila kusaidiwa ardhi ipo Tena vargin kabisa tuache unyonge..

Ni ushenzi na upuuzi mkubwa (Insanity) kusaidiwa vyakula Kama taifa laiti angekuwepo hayati JPM angewakatalia hao mabeberu...

Mbona issue ya chanjo za covid 19 imekuja ku be proven a SCAM

Kuna mengi yamesemwa na yamefanyiwa tafiti mabeberu Wana project zao kuhusu mazao kwa mfano mbegu zao za mahindi, karanga au mpunga wanazo tuletea ukipanda ukavuna usitegemee zile mbegu uzitumie Kama mbegu utapata mavuno hafifu Reference HOTUBA YA GWAJIMA SIKU YA NANE NANE (8/8/2023) unaweza kuitafuta MAANA alichimba deep

NB.
SISI SIO WA KUSAIDIWA VYAKULA PERIOD !!!! πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Serikali ya CCM na majitu yanayaoiongoza yamekosa utu kwa wapigakura wao. Haiwezekani wamarekani wawe na huruma kwa wananchi kuliko haya majitu yashibayo na yenye matumbo makubwa kama mapakacha. Nchi inalaaniwa na Mungu kwa sababu ya kutawaliwa na hawa wanaizaya laanifu waliokosa radhi ya Mwenyezi Mungu. Mlaaniwe nyie na vizazi vyenu wote kwa kuwalaza njaa watanzania.

Mnawanyima watanzania msosi ulioletwa na wazungu ili iweje? Wallah haya majitu yana roho mbaya zaidi ya nyoka anayemuua ng'ombe wakati hawezi kumla. Yakhe hamna khaya?
 
Asanteni Amerika kwa kutupatia mchele ulioboreshwa bure
Thank you president Joe Biden and people off American now hunger in Dodoma capital city kwishinei
 
Unaweza kuwa sahihi lakini mbona Raia wenu wana njaa ya kutupwa ?
 
Wewe mbwa, keyboard hero unadhani wazungu wakitaka kukuuwa watatumia chakula? Mbona chanjo na dawa za binadamu tunategemea kutoka kwa wazungu? Chanjo zote ulizochanjwa ametengeneza mama yako? Hadi vijiti vya meno vinatoka kwa wazungu. Unafikiri wazungu wakiweka sumu kwenye chanjo na vijiti vya meno nani atabaki salama?

Acheni ujinga wa kijinga usiokuwa na tija. Nipeni hiko chakula nile na familia yangu tuone kama hamtakuja kunidoea. Mmelaaniwa nyie mbwa koko.
 
Sifa za kijana wahovyo Ni kukimbilia matusi vs hoja

""MBWA DUME Dr am 4 real PhD ANACHATI NA MBWA MWENZIE (JIKE) MPAKA WANAELEWANA BASI WEWE NI MBWA JIKE""

NB.
Kwanini wasinge nunua mazao hayo hapa hapa nyumbani na kuyawekea izo nutrients na kuzigawa.

Note

""There's no Free lunch in AMERICA""
 
Ndiyo maana Chadema ni mazwazwa mnapinga hadi ujenzi wa bwawa la umeme ambao ni kwa ajili yenu wenyewe.

Kucha kuombaomba tu walichofanyia kazi wanaume wenzenu,
. Lema na Lisu Familia zao wanalishwa na wazungu.
 
Unaweza kuwa sahihi lakini mbona Raia wenu wana njaa ya kutupwa ?
Unaonaje hao watoa msaada wangenunua vyakula humu humu nchini kwa wakulima wetu then waka wekea izo nutrients hapa hapa nchini.....

Kweli sisi Kama taifa tumefikia hatua ya kusaidiwa VYAKULA hapana wapeleke huko Ukraine, Gaza, sudani, E.t.c
 
Sio matundu ya choo tu Hadi fedha inatolewa kuwafundisha watu namna ya kunawa mikono ili kujikinga na magonjwa ya kuhara na kutapika.
Watu wanaropoka tu, watu wana njaa kweli
 
Upo sahihi Tanzania ni masikini sana.

Tembelea maeneo ya mashamani/vijijini watu ni masikini hadi unajiuliza nini kinaendelea hapa? Watu wamefubaa wana njaa hatari.

Hata mijini vijana kwa wazee wanashinda njaa. Wamechoka hawana kitu.
Inasikitisha sana
 
Wewe endelea kula huo ugali wa muhogo na kisamvu, waache wanaotaka ubwabwa na maharage kutoka Marekani nao wale, usiwapingie na usiingilie uhuru wao.
 
Wewe endelea kula huo ugali wa muhogo na kisamvu, waache wanaotaka ubwabwa na maharage kutoka Marekani nao wale, usiwapingie na usiingilie uhuru wao.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…