Dhiki waliyonayo Watanzania inatisha, Waacheni wapewe msaada wa Chakula kuondoa Utapiamlo

Huenda thamani ya shilingi imetelemka sana kwa hiyo purchasing power ya watu imepungua.
 
Watoto wetu na wake zetu wanapewa chanjo za magonjwa mbalimbali tangu wakiwa na mimba miezi mitatu ili kumkinga mama na mtoto kutoka huko huko ulikotoka mchele hivi hao wazungu wangeamua kupitia chanjo hizo vizazi vyetu viwe machoko nyumba gani ingepona
 
Kuna watanzania ambao akili zao sijui zikoje!Hivi huo mchele nani amethibitisha kwamba umewekwa viambata vya kuchochea uchoko?Nchi ina watu walioajiriwa na serikali na wanalipwa mishahara kwa kuhakiki standard za ubora wa kila bidhaa iingiayo .Je Tbs wameshindwa kuhakiki ubora wa huo mchele mpaka huu mtanziko usio na sababu uendelee?Kama ni hivyo hiyo Tbs ni ya nini ?
 
Lakini cha kushangaza ARV wanapokea bila shida
 
TBS walishapima na kujiridhisha kuwa mchele huo ni salama na bora kwa matumizi ya binadamu lakini anajitokeza msomali mkoja amevimbiwa maharage ya Mbeya anakuja kuchafua hali ya hewa. Kama ameshindwa kukaa hapa nchini kwa amani ni afadhali arudi kwao akapambane na Al Shaabab. Naona amelewa amani na utulivu.
 
Wanaopinga chakula ni wale wanaoshiba.pana watz sasa hivi ndo wanakula hadi kesho Tena mida kama hii.
 
Alafu watu washenzi Sana, eti hii nchi inamchele wa kutosha wakati zipo shule nyingi tu ndani ya hii nchi wanafunzi hawapati hata uji shuleni. Sawa mahindi na Michele upo wa kutosha sasa mbona wanafunzi hawapati chakula shuleni?
Well Noted Mkuu

Mijamaa imeshiba imekalia mavieeti
 
Nilikuwa naangalia mchanganuo wa bajeti yetu ya tilioni 44+, makusanyo yetu yote ni tilioni 29 tu, zingine 40%lazima tukope, na kwa hiyo yetu 29tilioni, tilioni 5 tu ndio maendeleo, zingine ni matumizi ya kawaida, mishahsra, posho, safari, na kulipa madeni!
 
Asanteni wahisani wetu USAID.
WaTanzania tunahitaji sana hiyo maposho. Hawa wanaokula hela za walipa kodi kwa uwezo wa kamba zao hawahitaji hiyo chakula.
Wao wana uwezo wa kula nyama kila siku na wine [emoji485] nzuri.

Sisi wa huku kwa walala Hoi ugali tembele tunahitaji chakula hiyo is iende popote kama ipo hapa tayari tugawieni tukule.
 
Uzi huu umenigusa Sana, japo wote tuna Maisha magumu lakini kuna watu ni maskini wa kunuka Yani kila siku ijayo kwake ndo anajisemea Bora Jana [emoji19]
 
Uzi huu umenigusa Sana, japo wote tuna Maisha magumu lakini kuna watu ni maskini wa kunuka Yani kila siku ijayo kwake ndo anajisemea Bora Jana [emoji19]
Hakika sana
 
Huu ni ujinga na uuache. usimpe mtu chakula bali mpe maarifa na nyenzo bora za kupata Chakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…