Uguswelana chane
Member
- Oct 24, 2019
- 14
- 38
Wauzie sera wapi wakati hata uwanja wa kuuzia hizo sera wananyimwa.Ya mabeberu waachie mabeberu...
Hapa kwetu wapinzani badala ya kuuza sera zao , wapo busy kuangalia matangazo ya vyombo vya habari vya kimataifa.
Ninaamini kabisa sera za Chadema ni mbovu na hazitekelezeki ndio maana wameemua kucapitalize kwenye matukio badala ya kumwaga nondo.
Unamaanisha Jafo? [emoji848]Huyu Mheshimiwa alikuwepo kwenye igizo hili au wamefanana?.
Ya mabeberu waachie mabeberu...
Hapa kwetu wapinzani badala ya kuuza sera zao , wapo busy kuangalia matangazo ya vyombo vya habari vya kimataifa.
Ninaamini kabisa sera za Chadema ni mbovu na hazitekelezeki ndio maana wameemua kucapitalize kwenye matukio badala ya kumwaga nondo.
Ila nafasi ya kutukana mitandaoni inapatikana.Wauzie sera wapi wakati hata uwanja wa kuuzia hizo sera wananyimwa.
Nina hakika hata hawazifahamu, kwakua kwakutambua kuwa sera zenu ni mbovu na hazitekelezeki, mmeamua kujadili matukio na watu.Kama usemayo ni kweli BASI si muwaachie wananchi ndio wazikatae hizo Sera 'mbaya' za CHADEMA kwa haki na uhuru kwenye sanduku LA kura?
Ujasiri huo kwenu haupo kabisa pamoja na kujaza majisifu na maigizo muda wote kwenye vyombo vyote vya habari kila siku. Wananchi wenye NJAA na wanaokandamizwa kamwe hawawezi kuvutiwa na ununuzi wa madege, flyover na porojo nyingine.
ndio ulivyodanganywa ?Who cares? We are a free country.
We Kapuku hivi huoni kama viongozi wako wanaogopa uchaguzi ?Nina hakika hata hawazifahamu, kwakua kwakutambua kuwa sera zenu ni mbovu na hazitekelezeki, mmeamua kujadili matukio na watu.
Awamu ya tano imefilisi hoja zenu, hamna cha kuwaambia wananchi, bora mmekimbia kuficha aibu.We Kapuku hivi huoni kama viongozi wako wanaogopa uchaguzi ?
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Tuliza kipago binti, nani ahame, tutabanana hapahapa tutamwaga mboga, tutapoteza wote, Siku inakuja
Hoja ni ubakaji we demokrasia. Kama ni sera wapiga kura ndio wanaamua sio kina kiharusi na akina kifafa.Ya mabeberu waachie mabeberu...
Hapa kwetu wapinzani badala ya kuuza sera zao , wapo busy kuangalia matangazo ya vyombo vya habari vya kimataifa.
Ninaamini kabisa sera za Chadema ni mbovu na hazitekelezeki ndio maana wameemua kucapitalize kwenye matukio badala ya kumwaga nondo.
😀😀😀😀Hoja ni ubakaji we demokrasia. Kama ni sera wapiga kura ndio wanaamua sio kina kiharusi na akina kifafa.
Kuna wabakaji wa demokrasia kama Chadema??Hoja ni ubakaji we demokrasia. Kama ni sera wapiga kura ndio wanaamua sio kina kiharusi na akina kifafa.
Kuna wabakaji wa demokrasia kama Chadema??Hoja ni ubakaji we demokrasia. Kama ni sera wapiga kura ndio wanaamua sio kina kiharusi na akina kifafa.