Dhuluma ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yatinga kwenye vyombo vya habari vya Kimataifa

Ya mabeberu waachie mabeberu...

Hapa kwetu wapinzani badala ya kuuza sera zao , wapo busy kuangalia matangazo ya vyombo vya habari vya kimataifa.

Ninaamini kabisa sera za Chadema ni mbovu na hazitekelezeki ndio maana wameemua kucapitalize kwenye matukio badala ya kumwaga nondo.
Wauzie sera wapi wakati hata uwanja wa kuuzia hizo sera wananyimwa.
 
Who cares? We are a free country.
 
Ya mabeberu waachie mabeberu...

Hapa kwetu wapinzani badala ya kuuza sera zao , wapo busy kuangalia matangazo ya vyombo vya habari vya kimataifa.

Ninaamini kabisa sera za Chadema ni mbovu na hazitekelezeki ndio maana wameemua kucapitalize kwenye matukio badala ya kumwaga nondo.

Sawa kabisa sera za Chadema ni mbovu saana. Je tueleze sera nzuri zilizowasaidia wananchi ni za Channa gani na ni zipi Hilo!!!!!.
 
Kama usemayo ni kweli BASI si muwaachie wananchi ndio wazikatae hizo Sera 'mbaya' za CHADEMA kwa haki na uhuru kwenye sanduku LA kura?
Ujasiri huo kwenu haupo kabisa pamoja na kujaza majisifu na maigizo muda wote kwenye vyombo vyote vya habari kila siku. Wananchi wenye NJAA na wanaokandamizwa kamwe hawawezi kuvutiwa na ununuzi wa madege, flyover na porojo nyingine.
Nina hakika hata hawazifahamu, kwakua kwakutambua kuwa sera zenu ni mbovu na hazitekelezeki, mmeamua kujadili matukio na watu.
 
We Kapuku hivi huoni kama viongozi wako wanaogopa uchaguzi ?
 
Awamu ya tano imefilisi hoja zenu, hamna cha kuwaambia wananchi, bora mmekimbia kuficha aibu.

Ndio maana mnajitahidi kumkwamisha Magufuli, lakini hamtafanikiwa.
 
Wazungu huwa wanawapenda wakimbizi wa kisiasa

fursa ya kwenda majuu kiulaini na kula hela ya wazungu naionaa

scenes
 
Ya mabeberu waachie mabeberu...

Hapa kwetu wapinzani badala ya kuuza sera zao , wapo busy kuangalia matangazo ya vyombo vya habari vya kimataifa.

Ninaamini kabisa sera za Chadema ni mbovu na hazitekelezeki ndio maana wameemua kucapitalize kwenye matukio badala ya kumwaga nondo.
Hoja ni ubakaji we demokrasia. Kama ni sera wapiga kura ndio wanaamua sio kina kiharusi na akina kifafa.
 
Kwa moyo mweupe, bila kulazimishwa na mtu nawakaribisha mabeberu watutazame kwa jicho angavu. Kama mbwai na iwe mbwai.
 
Hoja ni ubakaji we demokrasia. Kama ni sera wapiga kura ndio wanaamua sio kina kiharusi na akina kifafa.
Kuna wabakaji wa demokrasia kama Chadema??

Kwanini hamfanyi uchaguzi wa ndani ya chama??
 
• Hakuna marefu, yasiyokuwa na ncha.
•Kila lenye mwanzo, halikosi kuwa na mwisho.
 
Back
Top Bottom