Uguswelana chane
Member
- Oct 24, 2019
- 14
- 38
Wauzie sera wapi wakati hata uwanja wa kuuzia hizo sera wananyimwa.Ya mabeberu waachie mabeberu...
Hapa kwetu wapinzani badala ya kuuza sera zao , wapo busy kuangalia matangazo ya vyombo vya habari vya kimataifa.
Ninaamini kabisa sera za Chadema ni mbovu na hazitekelezeki ndio maana wameemua kucapitalize kwenye matukio badala ya kumwaga nondo.