Dhuluma ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yatinga kwenye vyombo vya habari vya Kimataifa

Dhuluma ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yatinga kwenye vyombo vya habari vya Kimataifa

Huyu Mheshimiwa alikuwepo kwenye igizo hili au wamefanana?.
Screenshot_2019-11-09 Dhuluma ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yatinga kwenye vyombo vya habar...png
 
Uwa tunawaambia wanajifanya kisiwa niliona bbc walivyokuwa waki dicscus ili jambo tena kupitia world service focus in africa ilikuwa ndio trending news from africa.
Bado hatua flan hivi muhimu ndio tutaheshimiana nchi za Africa hazijifunzi miaka nenda Rudi trend za injustice zinajirudia kila nchi bado hatua muhimu iliyo kuu ya majuto kwa wote wanaochekelea dhuluma Leo ikishafika hiyo stage ukombozi wa kweli utakuwa umefika rasmi
 
Trump nampinga katika mengi,lakini la kututambua Waafrika,aaaah anatujua fika kuliko sisi tunavyojijua.. hatukoseagi anapoamua kutujadili..
Bado hatua flan hivi muhimu ndio tutaheshimiana nchi za Africa hazijifunzi miaka nenda Rudi trend za injustice zinajirudia kila nchi bado hatua muhimu iliyo kuu ya majuto kwa wote wanaochekelea dhuluma Leo ikishafika hiyo stage ukombozi wa kweli utakuwa umefika rasmi
 
Yote haya yataandikwa. Kumbukumbu zitawekwa. Vitukuu vyetu vitasoma,hata ikitokea tatizo nchini,watakuwa wanajua wanachokifanya
Hamjajifunza hata kwa uchaguzi wa marudio wa Zanzibar mlipo wasusia ccm wakala mboga na ugali wote huku nyie mkibaki mmewakenulia meno wazungu
 
Ya mabeberu waachie mabeberu...

Hapa kwetu wapinzani badala ya kuuza sera zao , wapo busy kuangalia matangazo ya vyombo vya habari vya kimataifa.

Ninaamini kabisa sera za Chadema ni mbovu na hazitekelezeki ndio maana wameemua kucapitalize kwenye matukio badala ya kumwaga nondo.
Sera waziuzie chooni kwako kama wamefungiwa wasifanye siasa
 
Ya mabeberu waachie mabeberu...

Hapa kwetu wapinzani badala ya kuuza sera zao , wapo busy kuangalia matangazo ya vyombo vya habari vya kimataifa.

Ninaamini kabisa sera za Chadema ni mbovu na hazitekelezeki ndio maana wameemua kucapitalize kwenye matukio badala ya kumwaga nondo.
Kama Sera za Chadema ni mbovu, mnaogopa nini nyinyi maccm, kuruhusu viongozii wake wagombee ili wananchi ndiyo wawakatae??
 
Kwa kasi ya awamu ya tano, kuna mbadala ya sera kweli?? bora mmezuga kutojua kujaza fomu ili mkimbie aibu ambayo ingewakuta.
Tunajua tunapendwa ila miwananchi haiwezi kutuchagua maana ni miwakala ya mabeberu, sisi wazarendo CCM!!!
 
Kama usemayo ni kweli BASI si muwaachie wananchi ndio wazikatae hizo Sera 'mbaya' za CHADEMA kwa haki na uhuru kwenye sanduku LA kura?
Ujasiri huo kwenu haupo kabisa pamoja na kujaza majisifu na maigizo muda wote kwenye vyombo vyote vya habari kila siku. Wananchi wenye NJAA na wanaokandamizwa kamwe hawawezi kuvutiwa na ununuzi wa madege, flyover na porojo nyingine.

Back
Top Bottom