Diamond aibuka na kupinga wimbo wake kufungiwa, asema nchi ina wenyewe

Wasituletee ustaaa
Sisi wenyewe mastaaa
Ati mademu wa... wana UTI
Mademu wa... Wana viuno vigumu...
Mademu we... Wanaomba sana vocha...
Mademu wa... Ni wabishi...

Hahahah...
Hatushobokei ustaa...
 
Ati mademu wa... wana UTI
Mademu wa... Wana viuno vigumu...
Mademu we... Wanaomba sana vocha...
Mademu wa... Ni wabishi...

Hahahah...
Hatushobokei ustaa...
Awoteeee 🤣🤣🤸‍♂️🤸‍♂️
 
Kwani kuna tatizo akishutia msikitini,
Hakuna tatizo hata akishutia Kaburini, bali mimi sio co-director kumpangia kama yeye asivyo na uwezo wa kunipangia mimi kama mlaji kipi niangalie na kipi nisiangalie, nikiona kitu sikipendi taacha kuangalia lakini sio kumpangia cha kufanya....
 
Video tumeifungia, kwani kuna lingine mnataka kuongea ?.

Njoo ofisini ulete taarifa zako na malalamiko. Instagram haitokusaidia kijana
 
Urudi ueleze maana yako ya sacrifice,

maana ya dunia nzima hii hapa
Sacrifice -an act of slaughtering an animal or person or surrendering a possession as an offering to a deity.
Na sacrice huwa inatolewa kwa a god or goddess
 
Wewe niambie kwenye huwo video wa wimbo wake wapi unaona unamakosa tuanzie hapo kwanza
Katikati ya huduma ya uimbaji (injili) mtu anapokea sim ya mapenzi na kuondoka akiwaacha wenzake wakiendelea na huduma! Hiyo ina tafsiri kuwa mapenzi/zinaa ni muhimu zaidi ya ibada. Ni dhihaka na kufuru kwa Mwenyezi Mungu.
 
Msikitini huingii mpaka uwe na udhu(isiwe na janaba)..msitini huwa hapaimbwi Wala kupigwa vinanda,sini yao ni kuimba kwaya,tangu lini kwaya ikaimbwa msikitini!!?
Wangeimba kaswida, kwani wimbo wao unahusiana vipi na kwaya!!!???
 
Katikati ya huduma ya uimbaji (injili) mtu anapokea sim ya mapenzi na kuondoka akiwaacha wenzake wakiendelea na huduma! Hiyo ina tafsiri kuwa mapenzi/zinaa ni muhimu zaidi ya ibada. Ni dhihaka na kufuru kwa Mwenyezi Mungu.
Hiyo haikuwa ibada ilikuwa ni mazoezi ya kwaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…