Diamond ana miaka 33 na wewe una miaka 33 ila wewe huna kitu

Umri wako una shida natanguliza salamu za pole kwa wanaokutegemea,
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ha ha ha yan maisha ukishanza kujifanamishanna wengine lazma utapata BP tu.... Afu utakufuru Mungu
 
Mimi sina ubavu kumtukana mtu asie nitukana matusi yangu ni product ya mdomo wa mchafu kama choo cha Soko au stand ya Bus.
Nimemaliza.
 
Watu tumestaafu kazi miaka 15 iliyopita, hivyo hatufai kuteuliwa kwa chochote labda nafasi ya kushauri kutokana na mvi zetu [emoji2957]

Fanya unitumie kiporo cha biriani, nina uhakika kilibaki
Mkuu tumekubali wewe mkubwa sawa
Unaongea fact sawa
Tunakuheshimu sawa.

Ila suala la kusema sijui nafasi ya kushauri mkuu unatafuta sifa.
Kila mtu akisema asema kada yake hapatoshi humu.

Umeshastaafu basi tena acha vijana tulambe asali ya taifa.
Kusema wewe mkubwa ni kutafuta sifa za kijinga
 
Hebu nipe kwanza umri wa baba yako mzazi halafu nilinganishe na bakhresa na ikiwa baba yako ni mkubwa au yupo sawa na bakhresa nadhani ingependeza kumuuliza dingi yako kwanini bakhresa tajiri na yeye yupo yupo tu wakati wanalingana au kamzidi umri bakhresa
 
Ni aibu mtu mwenye umri sawa na wewe, tena mtoto wa masikini kama naseed Abdul kuwa na maendeleo kukuzidi.

Mungu amekupa umri sawq na diamond ila wewe huna lolote aibu yako...
Kosa kwa vijana ni kujilinganisha na watu wengine. Umri wa miaka 33 ni mdogo bado. Jipange kutokana na uwezo aliokupa Mungu yaani kipaji ambacho amekupa Mungu usisikilize machawa na hawa washabiki

Raisi wa 43 George Bush akiwa na miaka 40 alikuwa mlevi hapa Dallas Texas hana kitu zaidi ya mtoto wa kigogo. Baada ya hapo amekuwa gavana wa Texas na Rais wa Marekani wa mihula miwili sasa alivyokuwa analinganisha na miaka 35 ilikuwaje? Kama maisha ni kulinganishana.
 
Sikupingi,ila Nina amin katika karma...
Hujawahi ona kuna mtu kila akijibidisha afanikiwi?
Na kuna ambaye kila akigusa anafanikiwa...

Tenda mema sasa,Yale mazuri yako ni matokeo ya wanao baadae.
Na kila baya kama alijakurudia wewe basi wanao ama wajukuu.

Hakuna uchawi.

Nina mifano Pia kupitia mimi.

Hakuna anaweza kuaribu nyota yako ni Mungu peke yake akiruhusu,na hawezi ruhusu bila sababu.
 
Ukiondoa jitihada, bahati, talanta na 'privileges' nyingine, mafanikio katika maisha huja kulingana na Qadari kutoka kwa Mungu. Mungu humpa amtakae, muda autakao na kwa kiwango akitakacho...

Hivyo basi hakuna haja ya kujilinganisha na wengine, na pia Hakuna sehemu imeandikwa ukifikisha miaka fulani lazima uwe Kama fulani, au lazima uwe na mafanikio fulani.

Cha msingi tupambane, na kila pumzi tunayovuta tukumbuke ni fursa ya kipekee ya kupambana kufikia mafanikio tunayoyahitaji kwa kadri Mungu alivyotukadiria.

Msanii 50 cent aliwahi kusema 'Get rich or die trying' akimaanisha
'pata utajiri/tajirika ama kufa ukiwa unajaribu/unapambana kuwa tajiri'...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ