Diamond arudisha dongo lingine kwa Naibu waziri wa Sanaa Juliana Shonza

Sio kwa tz Hii

Wanaafiki kibao wasiopenda awe juu!

Hao hao wanaojifanya kumuunga mkono watamdondosha am telling uu!!
Na ukute they know what their doing!!

Mission accomplished!
hahahaha sio diamond uyu tunaye mjuwa ..hakuna mtanzania anaye weza kumshusha sasa.. toka 2012 mnasubiri ashuke..
 
Yuma ya diamond kuna nguvu kubwa mno ,huijui tu. Ana watu wengi ambao shonza hana na kibaya zaidi shonza hana ajualo kwenye system, sio kila mtu unaweza mvamia tu.
ulichonijibu "" kiko tofauti na nilicho comment"" anyway "" kwahiyo kwakuwa ana hiyo nguvu basiii inakuwa inampa mamlaka ya moja kwa moja ya kupambana na waziri """? ....
 
ulichonijibu "" kiko tofauti na nilicho comment"" anyway "" kwahiyo kwakuwa ana hiyo nguvu basiii inakuwa inampa mamlaka ya moja kwa moja ya kupambana na waziri """? ....
Waziri ni temporary nakuambia hana ushawishi wowote, hata aseme chochote ,nchi zote wapo watu wanasimamiwa kwa kushirikishwa,. OK umezungumzia nguvu ndio Diamond anayo , kifupi diamond kamshinda shonza connections, fedha ,ushawishi,umarufu na kubwa zaidi mchango ktk chama.
 
aiseeee wewe Jamaa """ huelewi hata nachokiongea .....usiku mwema mkuu""
 
Diamond acha kulewa sifa,fata taratibu na sheria,acha upuuzi wa kuweka video za kijinga kiasi hicho aise,
hivi kama ni Tifah angeanikwa vile ungejisikiaje broh.
huo ni ujinga
hii ni Tanzania lazima tulinde maadili yetu.
acha ushamba braza.
 
Utasubiri sana, hata akianguka kesho mafanikio aliyonayo ni mfano wa kuigwa
 
Kwel
Huu ushauri mzuri
Ushauri mchambo
 
Aaa wapi, kwa unavyo onekana unabif na mond nini, mbona poooovuuuuuuu
 
Haitakuja kutokea mkuu. Clouds ni kitu kingine. Msimpe bichwa jamaa atakuja kufeli vibaya

Ni bora kujiepusha na mabeef ya haya mamedia
Mbona Lady Jaydee amesimama bila Clouds acheni inabidi media na wasanii wategemeane ndo maendeleo hayo yanatakiwa
 
Diamond acha kulewa sifa,fata taratibu na sheria,acha upuuzi wa kuweka video za kijinga kiasi hicho aise,
hivi kama ni Tifah angeanikwa vile ungejisikiaje broh.
huo ni ujinga
hii ni Tanzania lazima tulinde maadili yetu.
acha ushamba braza.
Maana kuna =>clean version
=>Explicit 18+
We hapo unaangaliaga zipi mkuu mpenda maadili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…