Diamond dhidi ya TRA tuko naye, ila kauli zake!

Kama speculation zake ni hizo aisee he is not smart at all. Instead of kutafuta mzizi wa tatizo anatafuta mtu?
 
Unaposema TRA wafuate taratibu, ungeeleza ni taratibu gani walizokiuka. Najua kufungia account ya bank ya mdaiwa sugu wa kodi bila taarifa, ipo kisheria, kwa kadiri ya sheria iliyopitishwa na hilo linaloitwa Bunge.
Embu tuambie ni sheria gani inayosema ivyo, na section ipi; hili na sisi wengine tukasome.

Halafu TRA awajasema wana mgogoro wa kikodi na diamond. Issue ni kutofuata taratibu za kisheria. Hayo ndio maelezo waliyotoa public. Either way hilo sio kosa la kufunga account za mtu.

Huko kwenye kutafuta sheria achana nako nimekuwekea maana not sure ata sheria husika kama ulikuwa unaijua kwa kusoma maelezo yako tu, nor how tax disputes arises or tax investigation is conducted; and other processes in between leading to seizure of assets.

Nyie ndio mnaowafanya hao watu wavunje sheria na ndio issue ya msingi kwangu iheshimiwe katika kazi za TRA (there are due processes hadi kufungia account za watu za biashara, contrary to your explanation).

Kama kodi huyo Diamond alipe ye nani asilipe, lakini ye mwenye kasema hana ufahamu wala taarifa za kuwa na madai ya kodi kila kitu analipa on time, na TRA wamesema issue yao nae ni kuto kufuata sheria.
 
Hizi zama si za Jakaya kwa kishindo tunaitika ZILIPENDWA by Diamond aka mhutu.
 
Sanduku la kura gani hili linalosimamiwa na Wakururugenzi,police na watendaji wa vijiji na kata?
 
Sanduku la kura gani hili linalosimamiwa na Wakururugenzi,police na watendaji wa vijiji na kata?
Hii concern nadhani inataka mada yake pekee, vinginevyo tutakuwa tuna diversify mada ya watu tukianza kuingiza changamoto za uchaguzi.
 
KATIBA MPYA NI SASA NA YEYOTE ATAKAE PINGA NI BORA EITHER ATOWEKE AMA AUNGANE maana asipofanya hivyo lolote litakalomkuta kutokana na katiba mbovu asilalamikie mitandaoni ili kutafta huruma bali apambane mwenyewe.
Waache walalamike na kulialia mambo yakiwaendea vizuri kwa katiba Mbovu wanajiona wajanja. Yakikaa vibaya wanataka tuwasaidie kulia.
 
Sanduku la kura gani hili linalosimamiwa na Wakururugenzi,police na watendaji wa vijiji na kata?
Hii concern nadhani inataka mada yake pekee, vinginevyo tutakuwa tuna diversify mada ya watu tukianza kuingiza changamoto za uchaguzi.
Siyo changamoto za Uchaguzi ni mipango ya ccm kuendelea kutawala vyama vingingine kwa kisingizio cha Sanduku la kura.
 
Weusi tuna shida mahali
Lawama zake kukimbilia siasa ni upumbavu mwingine huu

Ni kama Blacks waliopo [emoji631] na Europe pia yaani anasimamishwa kwa kosa alilofanya yeye halafu anamuambia police
Umenisimamisha kwa sababu mimi ni mweusi

Yaani kujitetea kwa mtu mweusi asiekuwa na elimu ni mtihani sana
Nimeshuhudia ujinga huu sana
 
Kama ni kweli usemayo kwa nini Serikali haijawashughulikia hao wanaonynyasa Wananchi kisa waliichagua CCM? Tukiwa kwenye mambo serious tuwe serious pia. Tusipende kutumia hearsay kwenye mambo serious, tutakuwa hatuitendei haki Serikali yetu.
 
Diamond huyo kasema, wengine wanawaroga kesi inaisha
 
Ni kweli TRA wana changamoto zao lukuki za uendeshaji ingawa kuwaita Chama cha Upinzani si sahihi.
Amekosa la kunena, hivi hana accountant wake wa kujitetea ulipaji huu
Yeye aimbe tu, mambo ya kodi wapo anaowalipa walizungumzie yeye atabwabwaja tu na kutafuta sympathy [emoji28] ambapo pia kaikosa kwa kuingiza siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…