Diamond dhidi ya TRA tuko naye, ila kauli zake!

Diamond dhidi ya TRA tuko naye, ila kauli zake!

Kweli bora ukose mali, upate akili! Sasa wapinzani gani hao wanaoshirikiana na TRA kumhujumu huyo dogo!! 🤔
9FE303C8-2F30-434B-BEC0-1CFF836FFA6D.png

Jiwe gizani...
 
Washamtumia vya kutosha sasa wanajipanga kumtema kwa kumtafutia vijisababu.
A boy from Tandale atambue uzalendo wa kweli ni kulipa Kodi kisha kuulizia matumizi ya Kodi yako.
 
Ili iweje?

Mh Diamond Platnumz karusha Jiwe gizani huko Kinondoni Shamba
Resoining capacity ya diamond imejidhihiri kuwa ni ndogo mnoo kupitia hili swala lake la kukwepa kodi na anavyojaribu kulijengea hoja za kiswahili-swahili.(tatizo ni shule)

Anyway, huyu dogo mpeni ushauri mshahara anaolipa chawa kumsifia amege kidogo atoe ajira kwa wataalam wa maswala ya kodi wamfanyie hizo kazi.
 
Resoining capacity ya diamond imejidhihiri kuwa ni ndogo mnoo kupitia hili swala lake la kukwepa kodi na anavyojaribu kulijengea hoja za kiswahili-swahili.

Anyway, huyu dogo mpeni ushauri mshahara anaolipa chawa kumsifia amege kidogo atoe ajira kwa wataalam wa maswala ya kodi wamfanyie hizo kazi.
Mjumbe wa CC ya Chadema mh Sugu kaingilia kati
 
Mjumbe wa CC ya Chadema mh Sugu kaingilia kati
Yes Sugu amemuambia alipe pesa ya TRA kwanza alafu aje tushirikiane kudai mabadiliko ya katiba na sheria zote za nchi ambazo ni kandamizi.

NB:
Umechelewa mnoo kuipata hii habari ya Diamond kukwepa kodi.
Kwa kuwa unaishi Pawaga najua Mzee Mgaya alikuzimisha na Ulanzi tangu juzi ndiyo umeamka now.
 
Hii ninayokupa ni ya Leo Leo kama Mtogwa Bwashee

Dogo ana Wasiwasi Ufipa mmejipenyeza pale kwa Watoza Ushuru Kulipa kisasi cha " Ni Yeye" kugaragazwa 2020
 
Ameshaisha huyo zama zake zimepita,,,katumika sasa hivi ni muda wa kumtelekeza
 
Back
Top Bottom