Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Kweli bora ukose mali, upate akili! Sasa wapinzani gani hao wanaoshirikiana na TRA kumhujumu huyo dogo!! 🤔
Jiwe gizani...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli bora ukose mali, upate akili! Sasa wapinzani gani hao wanaoshirikiana na TRA kumhujumu huyo dogo!! 🤔
Hahaha........naipenda sana JfView attachment 2467023
Jiwe gizani...
Mh. au mh.....!!!??[emoji16]Huo uheshimiwa Diamond kaupata lini, bwashee umelewa ulanzi nn?!.
Resoining capacity ya diamond imejidhihiri kuwa ni ndogo mnoo kupitia hili swala lake la kukwepa kodi na anavyojaribu kulijengea hoja za kiswahili-swahili.(tatizo ni shule)Ili iweje?
Mh Diamond Platnumz karusha Jiwe gizani huko Kinondoni Shamba
Hapo Lumumba ukimuita mtu muheshimiwa unapewa bahasha ya kaki yenye buku mbili-mbili mpya noti tatu na noti moja ya buku moja.Mh. au mh.....!!!??[emoji16]
Mjumbe wa CC ya Chadema mh Sugu kaingilia katiResoining capacity ya diamond imejidhihiri kuwa ni ndogo mnoo kupitia hili swala lake la kukwepa kodi na anavyojaribu kulijengea hoja za kiswahili-swahili.
Anyway, huyu dogo mpeni ushauri mshahara anaolipa chawa kumsifia amege kidogo atoe ajira kwa wataalam wa maswala ya kodi wamfanyie hizo kazi.
Ufipa Waheshimiwa wenu mnawaita Covid 19Hapo Lumumba ukimuita mtu muheshimiwa unapewa bahasha ya kaki yenye buku mbili-mbili mpya noti tatu na noti moja ya buku moja.
Hahaha.......hapo Ufipa kodi mnalipa?Awahi Mirembe
Yes Sugu amemuambia alipe pesa ya TRA kwanza alafu aje tushirikiane kudai mabadiliko ya katiba na sheria zote za nchi ambazo ni kandamizi.Mjumbe wa CC ya Chadema mh Sugu kaingilia kati
Hii ninayokupa ni ya Leo Leo kama Mtogwa BwasheeYes Sugu amemuambia alipe pesa ya TRA kwanza alafu aje tushirikiane kudai mabadiliko ya katiba na sheria zote za nchi ambazo ni kandamizi.
NB:
Umechelewa mnoo kuipata hii habari ya Diamond kukwepa kodi.
Kwa kuwa unaishi Pawaga najua Mzee Mgaya alikuzimisha na Ulanzi tangu juzi ndiyo umeamka now.
Hao Covid19 mliwaapisha gereji ni wenu nyie.Ufipa Waheshimiwa wenu mnawaita Covid 19
Bure kabisa nyie!
Happy new year Daudi Mchambuzi
Ulitaka aseme maadui? Ye kapunguza ukali wa maneno.Kweli bora ukose mali, upate akili! Sasa wapinzani gani hao wanaoshirikiana na TRA kumhujumu huyo dogo!! [emoji848]
huyu msanii wenu wa flash disk ana uwezo duni wa kufikiri.Hii ninayokupa ni ya Leo Leo kama Mtogwa Bwashee
Dogo ana Wasiwasi Ufipa mmejipenyeza pale kwa Watoza Ushuru Kulipa kisasi cha " Ni Yeye" kugaragazwa 2020
Kasema “chama pinzani”Ulitaka aseme maadui? Ye kapunguza ukali wa maneno.
Ameisha upande gani?Ameshaisha huyo zama zake zimepita,,,katumika sasa hivi ni muda wa kumtelekeza
Pande zote kama samakiAmeisha upande gani?