Acha ujinga aisee..ishu ni idadi ya tuzo au ukubwa wake?.Hivi Diamond Platnumz ana tuzo ngapi kulinganisha na huyo Burna Boy? Nadhani Diamond is way too far from Burna Boy when it comes to number of awards winning...pia alikuwa na mameneja hao hao unaowaponda
Mie sipend mtu mpenda sifa regardless ni nani! Huyu boya simkubali na sijawahi mkubali wala sio harmonize wala sio Alikiba ila wakifanya kitu safi nawasifiagaNguvu ya kufurahi unatoa wapi mpendwa huo ndio utimu ila nae ajifunze
[emoji23][emoji23][emoji23] producer wake mwingine ni S2kizzy ambaye anadaiwa kodi ya nyumba laki nne sijui..utulivu wa kupika mziki mzuri utatoka wapi?.Kwa madufu ya eyoo Laizaa ataendelea kutikisa tandale na Kenya na Uganda tu! Music yenye taste kama ya Burnaboy iko level zingine [emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeeh Bwana wewe ni mwenye vision sana mm nahisi hata huyo bwamdogo akikupa weye umeneja utafika mbali sana sababu unaijua hasa ile cream ilioko ndani umeeleza maneno mafupi matamu na ya kueleweka @ Diranghe 100% nimekukubali bro .Unajua tatitizo la wasinii wa bongo wanajidanganyana sana wanachulia mambo rahisi rahisi tu.DIAMOND KAANGUSHWA NA VIONGOZI WAKE, NA SIO KIGOGO WALA WANAHARAKATI.
Nawasalimu katika jina la Chama Cha Mapinduzi chama kiendelee. Kabla baadhi yenu hamjaanza kunisumbua kutaka nitoe maoni yangu kuhusu kushindwa kwa komredi Simba kwenye tuzo za BET, nimeona niyatoe mapema. Kama kawaida maoni yangu ndo yatakuwa msimamo wa JF. Soma kwa makini.
Kwanini kashinda Burna Boy na sio kada wa CCM Komredi Diamond Platinumz? Ieleweke Meneja wa Burna Boy ni mama yake mzazi. Unaweza ukakurupuka na kudhani labda Mama Dangote naye awe meneja wa mtoto wake ili kurahisisha kazi. Tuzingatie kuwa Mama Burna sio mgeni kwenye kazi yake ya umeneja. Huyu mama ni binti wa Benson Idonije ambaye alikuwa meneja wa mwanamuziki mkubwa kuwahi kutokea Afrika, komredi Fela Kuti. Mama Burna ana Masters degree toka Chuo Kikuu cha Port Harcourt. Huyu mama huzungumza kwa ufasaha lugha ya kiingereza, kifaransa, kijerumani, kiitaliano na kiyoruba. Amefundisha kifaransa kwa miaka 10 kwenye Chuo Kikuu cha Port Harcourt na kustaafu 2018. Kimsingi Mama Burna ana CV ya kutisha pia kakulia kwenye familia ya meneja. Hiyo kazi ipo damuni.
Pamoja na Burna Boy kupata Meneja mwenye viwango vya kimataifa bado tunaambiwa nguli P Didy (Sean Puffy Combs) ni meneja wake kwa upande wa Amerika. CV ya Diddy kwenye muziki ndani ya USA inaeleweka yaani hakuna haja ya maelezo. Tukiachilia mbali mameneja wa Burna, tukumbuke hata Burna ni msomi wa Chuo Kikuu.
Komredi Simba huenda ana kipaji kikubwa kuliko washindani wake lakini tunaona menejimenti yake ni dhaifu kuweza sawa na ushindani wa mameneja wengine. Mimi naona inabidi tukubaliane kwamba kijana aajiri meneja atakayeweza kwenda sawa kimataifa. Mameneja waliopo ndo uwezo wao ulipofikia hatuna cha kuwalaumu zaidi ya kuwapongeza. Ila nao waukubali huu ukweli mchungu. Meneja mwenye elimu ya darasa la saba ni ngumu sana kumvusha msanii wetu. Meneja anatakiwa awe mbali kimaono kuliko msanii. Lakini WCB inaonekana msanii ana akili kuliko mameneja.
Nimalizie kwa kusema kwamba hawa kina Kigogo wa Twitter na wanaharakati uchwara kama Maria Sarungi & company hawakuwa na uwezo wowote wa kuzuia Simba kupata tuzo. BET haipo kisiasa. Na kama kungekuwa na jambo baya kwa vyovyote wangeuliza ubalozi wa USA nchini kama kweli madai ya kina Kigogo ni kweli. BET haina kipengele cha siasa kwenye shuguli zake. Kina Kigogo walichofanya ni kumuongezea umaarufu Diamond.
Hahahah sasa Producer hana hela ya kodi kubabae kuna kazi tena hapo😂?[emoji23][emoji23][emoji23] producer wake mwingine ni S2kizzy ambaye anadaiwa kodi ya nyumba laki nne sijui..utulivu wa kupika mziki mzuri utatoka wapi?.
Una point yenye mashiko sanaDIAMOND KAANGUSHWA NA VIONGOZI WAKE, NA SIO KIGOGO WALA WANAHARAKATI.
Nawasalimu katika jina la Chama Cha Mapinduzi chama kiendelee. Kabla baadhi yenu hamjaanza kunisumbua kutaka nitoe maoni yangu kuhusu kushindwa kwa komredi Simba kwenye tuzo za BET, nimeona niyatoe mapema. Kama kawaida maoni yangu ndo yatakuwa msimamo wa JF. Soma kwa makini.
Kwanini kashinda Burna Boy na sio kada wa CCM Komredi Diamond Platinumz? Ieleweke Meneja wa Burna Boy ni mama yake mzazi. Unaweza ukakurupuka na kudhani labda Mama Dangote naye awe meneja wa mtoto wake ili kurahisisha kazi. Tuzingatie kuwa Mama Burna sio mgeni kwenye kazi yake ya umeneja. Huyu mama ni binti wa Benson Idonije ambaye alikuwa meneja wa mwanamuziki mkubwa kuwahi kutokea Afrika, komredi Fela Kuti. Mama Burna ana Masters degree toka Chuo Kikuu cha Port Harcourt. Huyu mama huzungumza kwa ufasaha lugha ya kiingereza, kifaransa, kijerumani, kiitaliano na kiyoruba. Amefundisha kifaransa kwa miaka 10 kwenye Chuo Kikuu cha Port Harcourt na kustaafu 2018. Kimsingi Mama Burna ana CV ya kutisha pia kakulia kwenye familia ya meneja. Hiyo kazi ipo damuni.
Pamoja na Burna Boy kupata Meneja mwenye viwango vya kimataifa bado tunaambiwa nguli P Didy (Sean Puffy Combs) ni meneja wake kwa upande wa Amerika. CV ya Diddy kwenye muziki ndani ya USA inaeleweka yaani hakuna haja ya maelezo. Tukiachilia mbali mameneja wa Burna, tukumbuke hata Burna ni msomi wa Chuo Kikuu.
Komredi Simba huenda ana kipaji kikubwa kuliko washindani wake lakini tunaona menejimenti yake ni dhaifu kuweza sawa na ushindani wa mameneja wengine. Mimi naona inabidi tukubaliane kwamba kijana aajiri meneja atakayeweza kwenda sawa kimataifa. Mameneja waliopo ndo uwezo wao ulipofikia hatuna cha kuwalaumu zaidi ya kuwapongeza. Ila nao waukubali huu ukweli mchungu. Meneja mwenye elimu ya darasa la saba ni ngumu sana kumvusha msanii wetu. Meneja anatakiwa awe mbali kimaono kuliko msanii. Lakini WCB inaonekana msanii ana akili kuliko mameneja.
Nimalizie kwa kusema kwamba hawa kina Kigogo wa Twitter na wanaharakati uchwara kama Maria Sarungi & company hawakuwa na uwezo wowote wa kuzuia Simba kupata tuzo. BET haipo kisiasa. Na kama kungekuwa na jambo baya kwa vyovyote wangeuliza ubalozi wa USA nchini kama kweli madai ya kina Kigogo ni kweli. BET haina kipengele cha siasa kwenye shuguli zake. Kina Kigogo walichofanya ni kumuongezea umaarufu Diamond.
Nani atakruhusu uingie ndani na siraha,..Nakubaliana na wewe! pia isitoshe Wakati alipokuwa na Zali Diamond ndo alipata nafasi ya kufanya kazi nyingi na nzuri na wasanii mbali mbali wa nje-ata Zali angeweza kuwa manager mzuri kwake lakini amezungukwa na vilaza ambao awatopenda aje mwenye akili kuliko wao kwa Diamondi lazima watamfanyia figisu figusu atoke!! kule BET sijui kama ata Ukumbini aliingia[emoji1787][emoji1787][emoji1787] picha zote yupo nje na ni za mchana....mle ndani kulikuwa na wasanii wengi aliofanya nao kazi how comes akuna ata kapicha kamoja akiwasalimia??? Dogo aliishia nje ...so sad kwakeli
Mkuu hivyo ni vilugha siyo lughaMeneja wake mwingine ndiyo huyo Babu Tale ambaye anaongea kwa ufasaha lugha ya Kiluguru na Kiswahili.
Asante kwa elimu hiiUnajua asili ya BET awards?ni mambo ya siasa baada ya kuona wazungu wanawabagua blacks katika mambo ya sanaa kama kutopiga nyimbo za blacks kwenye Tv na radio,so BET wanapinga udhalimu,daimond yupo upande wa wadhalimu ndio maana kaangukia pua na manguo yake kama gods must be crazy
Nani atakruhusu uingie ndani na siraha,..
mtaiongea mengi sana mwaka huu lakini huo ni wivu wa maendeleo aliyonayo diamond hamuwezi kumfikia hata siku moja kwa chuki hizo badirikeni
😂😂😂 ana phd ya lugha ya kilatiniMeneja wake wa kimataifa ni Salaam SK ambaye amepigwa life Ban ya kuingia Marekani.
Meneja wake mwingine ndiyo huyo Babu Tale ambaye anaongea kwa ufasaha lugha ya Kiluguru na Kiswahili.
Huyu amewahi kuolewa na wanaume 4.Tupe wasifu wa mama Dangote kwanza kabla hatujaanza kutoa maoni
Geuza haya Manene kwa kiingereza,..
Bunyero bunyero nataka msambwanda wa buku jero,.. Inama nipachike rungu..
Weny Lugha yao watamkataa asubui tu
NAKAZIA Pia kuna mahala nilisoma kwamba Media za Marekani kuna waafrica wachache walioajiriwa kutoka SA na Kidogo Nigeria sijui kwa Tanzania na Kenya kama kuna mtangazaji yeyote kwenye media za kimataifa kama BET na MTV anayeiwakilisha East Africa Uwepo wao ungesaidia sana kutoa kipaumbele hususani kwa nyimbo za wanamuziki wa EA sasa hivi hata kama zinapigwa hazipigwi inavyostahili ,ukilinganisha na mtu wa nyumbani ambavyo angetumia fursa kuzitangaza hii ingesaidia sana nyimbo zetu kujulikana kwenye Platform za Kimataifa.DIAMOND KAANGUSHWA NA VIONGOZI WAKE, NA SIO KIGOGO WALA WANAHARAKATI.
Nawasalimu katika jina la Chama Cha Mapinduzi chama kiendelee. Kabla baadhi yenu hamjaanza kunisumbua kutaka nitoe maoni yangu kuhusu kushindwa kwa komredi Simba kwenye tuzo za BET, nimeona niyatoe mapema. Kama kawaida maoni yangu ndo yatakuwa msimamo wa JF. Soma kwa makini.
Kwanini kashinda Burna Boy na sio kada wa CCM Komredi Diamond Platinumz? Ieleweke Meneja wa Burna Boy ni mama yake mzazi. Unaweza ukakurupuka na kudhani labda Mama Dangote naye awe meneja wa mtoto wake ili kurahisisha kazi. Tuzingatie kuwa Mama Burna sio mgeni kwenye kazi yake ya umeneja. Huyu mama ni binti wa Benson Idonije ambaye alikuwa meneja wa mwanamuziki mkubwa kuwahi kutokea Afrika, komredi Fela Kuti. Mama Burna ana Masters degree toka Chuo Kikuu cha Port Harcourt. Huyu mama huzungumza kwa ufasaha lugha ya kiingereza, kifaransa, kijerumani, kiitaliano na kiyoruba. Amefundisha kifaransa kwa miaka 10 kwenye Chuo Kikuu cha Port Harcourt na kustaafu 2018. Kimsingi Mama Burna ana CV ya kutisha pia kakulia kwenye familia ya meneja. Hiyo kazi ipo damuni.
Pamoja na Burna Boy kupata Meneja mwenye viwango vya kimataifa bado tunaambiwa nguli P Didy (Sean Puffy Combs) ni meneja wake kwa upande wa Amerika. CV ya Diddy kwenye muziki ndani ya USA inaeleweka yaani hakuna haja ya maelezo. Tukiachilia mbali mameneja wa Burna, tukumbuke hata Burna ni msomi wa Chuo Kikuu.
Komredi Simba huenda ana kipaji kikubwa kuliko washindani wake lakini tunaona menejimenti yake ni dhaifu kuweza sawa na ushindani wa mameneja wengine. Mimi naona inabidi tukubaliane kwamba kijana aajiri meneja atakayeweza kwenda sawa kimataifa. Mameneja waliopo ndo uwezo wao ulipofikia hatuna cha kuwalaumu zaidi ya kuwapongeza. Ila nao waukubali huu ukweli mchungu. Meneja mwenye elimu ya darasa la saba ni ngumu sana kumvusha msanii wetu. Meneja anatakiwa awe mbali kimaono kuliko msanii. Lakini WCB inaonekana msanii ana akili kuliko mameneja.
Nimalizie kwa kusema kwamba hawa kina Kigogo wa Twitter na wanaharakati uchwara kama Maria Sarungi & company hawakuwa na uwezo wowote wa kuzuia Simba kupata tuzo. BET haipo kisiasa. Na kama kungekuwa na jambo baya kwa vyovyote wangeuliza ubalozi wa USA nchini kama kweli madai ya kina Kigogo ni kweli. BET haina kipengele cha siasa kwenye shuguli zake. Kina Kigogo walichofanya ni kumuongezea umaarufu Diamond.
Wanaharakati wenyewe movement zao kwenye vyama vyao hazieleweki na watu hawa waelewi, Burna kastahili sababu ya album yake ya mwaka jana na tuzo aliyoipata Grammy plus umoja waliokuwa nao wanaijeria ktk kupush na kusapoti wasanii wao.DIAMOND KAANGUSHWA NA VIONGOZI WAKE, NA SIO KIGOGO WALA WANAHARAKATI.
Nawasalimu katika jina la Chama Cha Mapinduzi chama kiendelee. Kabla baadhi yenu hamjaanza kunisumbua kutaka nitoe maoni yangu kuhusu kushindwa kwa komredi Simba kwenye tuzo za BET, nimeona niyatoe mapema. Kama kawaida maoni yangu ndo yatakuwa msimamo wa JF. Soma kwa makini.
Kwanini kashinda Burna Boy na sio kada wa CCM Komredi Diamond Platinumz? Ieleweke Meneja wa Burna Boy ni mama yake mzazi. Unaweza ukakurupuka na kudhani labda Mama Dangote naye awe meneja wa mtoto wake ili kurahisisha kazi. Tuzingatie kuwa Mama Burna sio mgeni kwenye kazi yake ya umeneja. Huyu mama ni binti wa Benson Idonije ambaye alikuwa meneja wa mwanamuziki mkubwa kuwahi kutokea Afrika, komredi Fela Kuti. Mama Burna ana Masters degree toka Chuo Kikuu cha Port Harcourt. Huyu mama huzungumza kwa ufasaha lugha ya kiingereza, kifaransa, kijerumani, kiitaliano na kiyoruba. Amefundisha kifaransa kwa miaka 10 kwenye Chuo Kikuu cha Port Harcourt na kustaafu 2018. Kimsingi Mama Burna ana CV ya kutisha pia kakulia kwenye familia ya meneja. Hiyo kazi ipo damuni.
Pamoja na Burna Boy kupata Meneja mwenye viwango vya kimataifa bado tunaambiwa nguli P Didy (Sean Puffy Combs) ni meneja wake kwa upande wa Amerika. CV ya Diddy kwenye muziki ndani ya USA inaeleweka yaani hakuna haja ya maelezo. Tukiachilia mbali mameneja wa Burna, tukumbuke hata Burna ni msomi wa Chuo Kikuu.
Komredi Simba huenda ana kipaji kikubwa kuliko washindani wake lakini tunaona menejimenti yake ni dhaifu kuweza sawa na ushindani wa mameneja wengine. Mimi naona inabidi tukubaliane kwamba kijana aajiri meneja atakayeweza kwenda sawa kimataifa. Mameneja waliopo ndo uwezo wao ulipofikia hatuna cha kuwalaumu zaidi ya kuwapongeza. Ila nao waukubali huu ukweli mchungu. Meneja mwenye elimu ya darasa la saba ni ngumu sana kumvusha msanii wetu. Meneja anatakiwa awe mbali kimaono kuliko msanii. Lakini WCB inaonekana msanii ana akili kuliko mameneja.
Nimalizie kwa kusema kwamba hawa kina Kigogo wa Twitter na wanaharakati uchwara kama Maria Sarungi & company hawakuwa na uwezo wowote wa kuzuia Simba kupata tuzo. BET haipo kisiasa. Na kama kungekuwa na jambo baya kwa vyovyote wangeuliza ubalozi wa USA nchini kama kweli madai ya kina Kigogo ni kweli. BET haina kipengele cha siasa kwenye shuguli zake. Kina Kigogo walichofanya ni kumuongezea umaarufu Diamond.
Duuuuuh hiyo ni CV ya mama wa mwanamuziki mkubwa toka Africa mashariki na kati halafu ndo aweze kutoboa kimataifa kweli acheni ushamba, meneja wake ni mganga mzuia mvua mwingine muuza drugs na maisha ya ujanja ujanja unategemea nini hapo tena bora wameshindwa maana angerudi na tuzo huyo kwa tunayemjua na ushamba wake angeamuru WASAFI TV na WASAFI FM wamtangaze yeye tu kwa siku 7 mfululizo.Huyu amewahi kuolewa na wanaume 4.
Amewahi kutukanana na mumewe wa zamani mara kadhaa
Na kikubwa zaidi hajawahi kuingia darasani.
Mwisho kabisa ana kipaji cha kumpigia mtu umbea mpk akafa.
Ikiwa darasa la saba la mihogo ya sokoni inanukia kisokosoko, linaweza kumfikisha Babu Tale kupata Masters ya uhusiano wa kimataifa, basi tupe ushahidi!Mbona babu Tale ana Masters ya uhusiano wa kimataifa!