willzkichaa
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 422
- 190
sasa na wewe unamsifiaje mwanaume mbele ya kidume???
siso huwaga tunawaponda hata kama tunawapeenda
USIRUDIE
Kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa na wewe unamsifiaje mwanaume mbele ya kidume???
siso huwaga tunawaponda hata kama tunawapeenda
USIRUDIE
Yaaan namuona ana mambo ya kitoto kweli,duuuu ctarudia tena kumbe ni hatari mm nilikua cjui
Jana bwana nilikua na shemeji yenu tumekaaa mahali tunaangalia world cup ile mechi ya saa nne basi bwana nikahisi kuanza kuboreka nikachukua headfon nikawa nasikiliza mziki yeye akiwa busy na mpira,
Na yeye akahisi mimi kuboreka akachukua headfon na yeye asikilize kile nichokua nackiliza ,wakati anachukua ulikua wimbo mpya wa Diamond unapigwa,
Basi bwana mara tukaanza kuongea mambo ya wanamuziki,nikawa namsifia Diamond bwana kwamba bwana mdogo anajitahidi ameanzia mbali ila he is somewhere now anajuhudi kwenye mziki yeye akawa anamponda .
kweli sijui hajui kuimba sijui mshamba sisi akataka na mimi ni msupport,alivyoona nampa fact eeeee niliamsha hasira za kipare ,
Ananiambia kama unampenda huyo Diamond si akakuoe sasa umefuata nini kwangu,
kiukweli sijui mambo ya Damond kunioa yalifikaje,aliongea sheet nyingi kwakweli,yaani mpaka sahizi kanuna hata sms ya morning sijapata na si kawaida yake yaani,
Hebu niambie wakaka hiiii inakuaje maaana simwelewi kwakweli,
Na anajua mimi na celebrity sio kivile sina hata access nao kwamba nitaweza hata kua karibu nao ,atakua amepatwa na nini huyu mwanaume?
Atakua mme wa mtu huyo,yupo busy na mke wke we hujui tu!
Subiri siku naye aanze kukwambia anamkubali sana lulu, na kumpa sifa kibao.
black more
shiling 10000 kwa pea
serfin more
shiling 10000 kwa
pea
orange more shiling 10000
kwa pea
gapi wekundu
shiling 10000 kwa pea
gold fish
shilingi10000 kwa pea.
na aina nyingine nyingi
Mawasiliano 0712505049
picha utaziona whats app maana nipo katika hatua za mwisho kufungua website
Kama mmeo yupo jamiiforums atakuwa ashajua kuwa umekuja kumtangazaaa..