Diamond kaniponza jamani

Diamond kaniponza jamani

Usijali atarudi tuu kama kweli ana kupenda.
 
Hahahaaaa..... Ur fake story is "made in Tanzania".
 
Haha haa,pole sana inawezekana kuna kitu kakumbuka..binafsi kuna dem wangu siku moja alikua anamuongelea jamaa mmoja kuwa anasikia watu wanasema ana 'mguu' mkubwa sana..hivi karibuni nimepata tetes kuwa demu wangu anatembea na huyo jamaa..ila kwa sasa nafanya uchunguzi nikithibitisha nitarudi hapa..
 
Yaaan namuona ana mambo ya kitoto kweli,duuuu ctarudia tena kumbe ni hatari mm nilikua cjui

Umeamua kuponda naye yuko huku anafuatilia uzi, ndio maana uchumba na ndoa imekuwa vurugu siku hizi
 
Mimi huwa siongelei msichana nikiwa na mtu wangu, mara nyingi tutaongelea maisha yetu tu
 
Wivu tu unamsumbua hakuna kingine hapo..sasa ushajua upo na mtu wa hainagani siku nyingine ujiepushe kusifia watu mbele yake.,
 
Jana bwana nilikua na shemeji yenu tumekaaa mahali tunaangalia world cup ile mechi ya saa nne basi bwana nikahisi kuanza kuboreka nikachukua headfon nikawa nasikiliza mziki yeye akiwa busy na mpira,

Na yeye akahisi mimi kuboreka akachukua headfon na yeye asikilize kile nichokua nackiliza ,wakati anachukua ulikua wimbo mpya wa Diamond unapigwa,

Basi bwana mara tukaanza kuongea mambo ya wanamuziki,nikawa namsifia Diamond bwana kwamba bwana mdogo anajitahidi ameanzia mbali ila he is somewhere now anajuhudi kwenye mziki yeye akawa anamponda .

kweli sijui hajui kuimba sijui mshamba sisi akataka na mimi ni msupport,alivyoona nampa fact eeeee niliamsha hasira za kipare ,

Ananiambia kama unampenda huyo Diamond si akakuoe sasa umefuata nini kwangu,

kiukweli sijui mambo ya Damond kunioa yalifikaje,aliongea sheet nyingi kwakweli,yaani mpaka sahizi kanuna hata sms ya morning sijapata na si kawaida yake yaani,

Hebu niambie wakaka hiiii inakuaje maaana simwelewi kwakweli,

Na anajua mimi na celebrity sio kivile sina hata access nao kwamba nitaweza hata kua karibu nao ,atakua amepatwa na nini huyu mwanaume?

mama wengine watajua unamuita damondo kijanja
 
black more
shiling 10000 kwa pea


serfin more
shiling 10000 kwa

pea

orange more shiling 10000
kwa pea

gapi wekundu
shiling 10000 kwa pea

gold fish
shilingi10000 kwa pea.
na aina nyingine nyingi

Mawasiliano 0712505049
picha utaziona whats app maana nipo katika hatua za mwisho kufungua website
 
Subiri siku naye aanze kukwambia anamkubali sana lulu, na kumpa sifa kibao.

Najua kbs nguvu za kumpata huyo lulu cjui masogange hana,lbd aende kwa mganga,akaloge,ss mm wivu wa nn while i no ma men status,ata awacfie mpk asubui presha cna.
 
black more
shiling 10000 kwa pea


serfin more
shiling 10000 kwa

pea

orange more shiling 10000
kwa pea

gapi wekundu
shiling 10000 kwa pea

gold fish
shilingi10000 kwa pea.
na aina nyingine nyingi

Mawasiliano 0712505049
picha utaziona whats app maana nipo katika hatua za mwisho kufungua website

Ndo nn
 
Back
Top Bottom