Tetesi: Diamond kujiunga CHADEMA mwaka 2024 na 2025 kugombea Ubunge kupitia chama hicho

Atakuwa anazitafuta nyingi zaidi na pia labda kupata shields !!
 
CCM ya sasa haina mambo hayo. Mtu yuko huru kujiunga chama chochote, ila wananchi ndo watakaotoa hukumu ya mwisho uchaguzini.
 
Kwanza aoe mke sio kuzaa ovyo nje ya doa. Ubunge ni kazi ya heshima sema imegeuzwa kua kazi ya kihuni kwa wahuni kugombea.
 

Asijihusishe na siasa. Nchi hii siasa zake hazieleweki
 
Hawawezi kumpa agombee Chadema kwani kiwango chake bado ni cha CCM.
 
Ukiangalia Views na Like katika hizo picha kamwe hauwezi andika huu upuuzi wako jukwaani.

Tofauti ni kubwa mno 🀣🀣🀣
 

Attachments

  • Screenshot_20230413-134348.jpg
    61.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230413-134249.jpg
    64.7 KB · Views: 3
Haahaa,
Afanye mziki aache siasa....
Ila hata mm na dream siku Moja niwe member of Parliament (MP)
πŸ˜‚πŸ€£
Jamaa anaweza kufanya vyote na akatoboa kama kawa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukweli ni kuwa Chai jaba hana mpango huo kabisa ila mleta mada alikuwa anatafuta angle ya kujidhalilisha Chadema tu.
Nilichoandika hapa ndio ukweli wenyewe huo. Sina lengo la kuidhalilisha Chadema wala chama chochote hapa jukwaani.
 
sasa msuka dredi awe mbunge wa ardhi fulani ya ichi ya kiafrica ni aibu na ni kukosea heshima nchi kwa ujumla
Mbona kina Sugu walikuwa wanavaa mpaka hereni, na bado waligombea ubunge wakashinda?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…