Tetesi: Diamond kujiunga CHADEMA mwaka 2024 na 2025 kugombea Ubunge kupitia chama hicho

NA WEWE UNAJIUNGA LINI NA ACT KUGOMBEA URAIS ? MAANA NAONA UNAWATAJA WENGINE
 
Me nimezungumza kuandamwa wewe unasema kuandamana uoni utofauti
Ok mkuu nahisi nilikuwa sijakuelewa.
Ila CCM ya sasa sio ya kuandama wala kuandamwa, ndio maana siku hizi ni kawaida kuwakuta kina Mbowe, Zito na magenge yao wakijichanganya na wana CCM bila bughuza yoyote.
 
NA WEWE UNAJIUNGA LINI NA ACT KUGOMBEA URAIS ? MAANA NAONA UNAWATAJA WENGINE
Siku kikipata viongozi makini nitajiunga nacho. Lakini kwa sasa naona kimejaa wachumia tumbo watupu kutoka pande za mwambao.
 
Katiba ya Tanzania unaijua ulishawahi kuisoma? Diamond siyo Mtanzania? Kugombea hilo jimbo unalosema ni makosa kisherI?
Sio mtanzania ni Mmarekani au mjerumani?
Anaishije ishije na familia yake hapa Tz?
Na akisafiri huwa anatumia passport ya nchi gani?
 
Huko kutaitwa kupatwa kwa Bunge

Maana Sasa litageuka kokoro.
Inasemekana nje ya mziki jamaa yuko vizuri kichwani.
Sema ndo hivyo mambo ya sanaa sometimes lazima ujifanye kichwanga ili kuvuta views na Like za kutosha mitandaoni.
 
Diamond akigombea na heche still atashinda ukiondoa Mbowe na Lissu hapo CHADEMA hakuna mtu mwingine mwenye influence kubwa zaidi ya Diamond
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umeandika maneno yenye busara na elimu tosha kwa watakaopenda kujifunza kupitia kwa haya uliyoandika.

Ila kwa tabia za sisi watanzania, tuliokuelewa ni wachache sana.
 
Kwanza aoe mke sio kuzaa ovyo nje ya doa. Ubunge ni kazi ya heshima sema imegeuzwa kua kazi ya kihuni kwa wahuni kugombea.
Japo umeandika kisela, lkn maneno yako yana make sense πŸ˜πŸ‘πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…