Tetesi: Diamond kujiunga CHADEMA mwaka 2024 na 2025 kugombea Ubunge kupitia chama hicho

Nafikili ameona uko ndo kunafaa baada ya kuona kuna watu wanakwenda bungeni kusinzia afu wakitoka hapo mamilioni ya shiling yanaingia kwa acc zao bila jasho.
Mentality za kijinga,ana kampuni nyingi,mtaji anao,abuni biashara za kupiga hela zaidi,maana network anayo,akina rostam waliingia siasa kutafuta network
 
Inasemekana nje ya mziki jamaa yuko vizuri kichwani.
Sema ndo hivyo mambo ya sanaa sometimes lazima ujifanye kichwanga ili kuvuta views na Like za kutosha mitandaoni.
Yah nakubaliana na wewe diamond yupo smart sana nimewahi kilusikiliza baadhi ya press zake na interview zake
 
Mentality za kijinga,ana kampuni nyingi,mtaji anao,abuni biashara za kupiga hela zaidi,maana network anayo,akina rostam waliingia siasa kutafuta network
Kweli kabisa, ni bora asijihusishe na siasa kabisa. Zitamuharibia mazima.
 
Kwani ni lazima utukane?!, sugu mbilinyi,na hata yule mvuta bangi wa moro,wao wana nn vichwani mwao zaidi ya diamond?
 
Uwe mda mwingine unatumia akili kufikiri badala ya makalio ;;
Acha kudhalilisha CHADEMA,,lini uliwahi ona CHADEMA ikachukua watu kama hao?
hyo ni desturi ya CCM Kuchukua wapuuzi wenzao
 
Kwani ni lazima utukane?!, sugu mbilinyi,na hata yule mvuta bangi wa moro,wao wana nn vichwani mwao zaidi ya diamond?
Asante mkuu kwa kumuhabarisha huyo mnywa gongo. Siku zote mtu mjinga utamuona kwa ujinga wake.
 
Umemsahau Wema sepetu?
Mdude nyagali, Sugu, Mdee na wengine wengi tu kawasahau. Jamaa anajifanya anaipenda na kuijua sana Chadema wakati Chadema yenyewe haimjui yeye wala mumewe.
 
Yatamkuta ya boby wine kule UG[emoji4]
UG ni utawala wa kidikteta, wakati TZ ni utawala wa kidemokrasia. Kwahiyo hakuna baya ambalo litamkuta, labda wananchi wamkatae.
 
Chadema ni mtaji mkubwa sana kwa Wanalumumba aisee, huyu mleta uzi tayar kashaingiza buku 7 pale Lumumba [emoji23][emoji23] .. watoto leo hawalali njaa ... Alafu nyie ndo mnaongoza kusema chadema imekufa , ikifa na ninyi mtakufa njaa

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…