Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

Mnayempigia kelele mwenyewe keshasema barua ni fake....hahahaaa hizi team bana mpaka mkaedit barua ili kuwa sawa...
 
Mnayempigia kelele mwenyewe keshasema barua ni fake....hahahaaa hizi team bana mpaka mkaedit barua ili kuwa sawa...
Amekanushia WAP Mkuu......?

Tuletee ata picha......!
 
Great thinker wapo jukwaa lao,hili jukwaa ni la pumba na mashudu yote sawasawa.
Sasa wewe na akili zako timamu unasomba barua la kueditwa unaleta humu kwa great thinker?
Maana hivo ndo sifa za team kibakuli
 
Kama vile jina lake nimeliona na anatakiwa kufika kuchujioni jtatu
 
Hapo kwa zungu ruge na diamond hao ndo dili zao. Bila kelele za mange zungu asingeitwa
Kwani Mange ndo kamshawishi Makonda? Hebu tuamini kuwa mkuu wa mkoa kaamua kulivalia njuga tatizo hili sugu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…