ChamaDola
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 3,431
- 2,804
wise-comedian huo msemo wa "counting them benjamin" unamanisha nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekanushia WAP Mkuu......?Mnayempigia kelele mwenyewe keshasema barua ni fake....hahahaaa hizi team bana mpaka mkaedit barua ili kuwa sawa...
Wanatamani kweli Diamond atajwe hadi wanafeki baruaMnatamani kweli Diamond aitwe ili mbalance story timu fulani kama mmelogwa vile. Kaeni hapo subirini
Mmeamua kutengeneza barua feki, hahahaha team kibakuli mziki umewashinda mnaendekeza majungu
Acha kuwa lipumbafu .,kuuza ngada na chuki vinausiana vipi??Haters gonna hate and mond will still be counting them Benjamin
Wimbo maarufu ule!watu kwa kukumbuka, hamjasahau tuu?
Mmeamua kutengeneza barua feki, hahahaha team kibakuli mziki umewashinda mnaendekeza majungu
Ndiyo maana Rommy humuoni tena kwenye tour za domo kama official Dj[emoji15] [emoji15] [emoji15] yamekuwa hayo teeena!
Sasa wewe na akili zako timamu unasomba barua la kueditwa unaleta humu kwa great thinker?Siku nikimsifia dai nakua upande wenu ee na like ukanipa,leo umenihamishia team kiba jaman dunian maajabu hayaishiView attachment 467225
Sasa wewe na akili zako timamu unasomba barua la kueditwa unaleta humu kwa great thinker?
Maana hivo ndo sifa za team kibakuli
Hahaha kwaiyo umeleta hii pumba kumfurahisha nani ?Great thinker wapo jukwaa lao,hili jukwaa ni la pumba na mashudu yote sawasawa.
Achana na uzushi wa bavicha,hakuna wito wowoteYeye pia ameitwa jumatatu kituoni!!!
We unahis zinatoka wapKama kuna mtu anaamini Diamond hela Zake zinatokana na muziki, huyo ni mwendawazimu kabisa
[emoji23][emoji23]Mwenzangu nilisikia Rommy alionja mama T.
Kwani Mange ndo kamshawishi Makonda? Hebu tuamini kuwa mkuu wa mkoa kaamua kulivalia njuga tatizo hili sugu!Hapo kwa zungu ruge na diamond hao ndo dili zao. Bila kelele za mange zungu asingeitwa
Listi mpya ummeionaMnatamani kweli Diamond aitwe ili mbalance story timu fulani kama mmelogwa vile. Kaeni hapo subirini