Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

Mnayempigia kelele mwenyewe keshasema barua ni fake....hahahaaa hizi team bana mpaka mkaedit barua ili kuwa sawa...
 
Mnayempigia kelele mwenyewe keshasema barua ni fake....hahahaaa hizi team bana mpaka mkaedit barua ili kuwa sawa...
Amekanushia WAP Mkuu......?

Tuletee ata picha......!
 
Siku nikimsifia dai nakua upande wenu ee na like ukanipa,leo umenihamishia team kiba jaman dunian maajabu hayaishi
14709578_1815295762016697_8427287096783273984_n.jpg

Mmeamua kutengeneza barua feki, hahahaha team kibakuli mziki umewashinda mnaendekeza majungu
 
Great thinker wapo jukwaa lao,hili jukwaa ni la pumba na mashudu yote sawasawa.
Sasa wewe na akili zako timamu unasomba barua la kueditwa unaleta humu kwa great thinker?
Maana hivo ndo sifa za team kibakuli
 
Kama vile jina lake nimeliona na anatakiwa kufika kuchujioni jtatu
 
Hapo kwa zungu ruge na diamond hao ndo dili zao. Bila kelele za mange zungu asingeitwa
Kwani Mange ndo kamshawishi Makonda? Hebu tuamini kuwa mkuu wa mkoa kaamua kulivalia njuga tatizo hili sugu!
 
Back
Top Bottom