Diamond na kujimilikisha mali ambazo sio zake

hivi ile project ya kulipia watu kodi iliisha?
 
Hivi zile karanga sijui zimeishia wapi.
 
Tajiri anahama kwenye nyumba yake anaenda kupanga..

Nasikia kule Madale kamwachia mama yake ye kaenda kupanga
 
Tajiri anahama kwenye nyumba yake anaenda kupanga..

Nasikia kule Madale kamwachia mama yake ye kaenda kupanga
Madale ni sehemu ndogo sana. Halafu ile haikuwa dream home yake mara nyingi ukijenga nyumba kwa mara yakwanza inakuwaga siyo dream home unajenga tu kwa kuhofia kesho.
Ila unapotulia mambo yakazidi kukunyokea ndipo unaweza kujenga nyumba ya ndoto yako. Kwa kipindi kile aliona kajenga mjengo wa maana ila muda ulivyozidi kwenda akagundua ile nyumba haiendani naye tena.
 
Kwahiyo tajiri baada ya kujenga dream house kaamua kwenda kupanga dream house??
 
Kwahiyo tajiri baada ya kujenga dream house kaamua kwenda kupanga dream house??
Huwezi jua labda kapanga huku akijenga. Mjini mipango ngoja ngoja ashasema siku akiacha kupanga atawashangaza.
 
Huwezi jua labda kapanga huku akijenga. Mjini mipango ngoja ngoja ashasema siku akiacha kupanga atawashangaza.
Anataka kutushangaza kama alivyotushangaza kwenye Rolls Royce sio
 
Anataka kutushangaza kama alivyotushangaza kwenye Rolls Royce sio
Mimi binafsi siamini kama anashindwa kujenga nyumba, kwa level aliyofikia hata kama.amayofanya ni show off hizo show off tu zinahitaji uwe na pesa na pesa kweli. Hiyo pesaa unaweza kujenga nyumba.
 
Mimi binafsi siamini kama anashindwa kujenga nyumba, kwa level aliyofikia hata kama.amayofanya ni show off hizo show off tu zinahitaji uwe na pesa na pesa kweli. Hiyo pesaa unaweza kujenga nyumba.
Kwanini asijenge sasa?? Msanii kama yeye hatakiwi kuishi nyumba za kupanga kama akina Rayvanny na Harmonize
 
Perfume ilikua biashara ya mke wa kusaga na diamond karanga ilikua biashara ya wale wahindi ambao walikua wanauza karanga za smart kwenye packet za kijani,
 
Kila mtu ana mipango yake na maono yake. Mipango na maono yake ndiyo yamemfikisha hapo alipo, angefikiria kama kila mtu anavyofikiri huenda angeshapotea kwenye ramani ya mziki.
Maono au bado hana pesa ya kujenga dream house??
 
Maono au bado hana pesa ya kujenga dream house??
Mkuu hujawahi kukutana na mtu ana pesa kukuzidi lakini hamiliki gari au ana gari halilingani ubora na thamani ya gari ulilonalo wewe?
Ni malengo na mtazamo binafsi wa mtu, na target. Yani hata iwe ni show off anaongeza digits, lakini bado atakuwa na ela yule kijana maana hizo show off zenyewe anazofanya zinakula pesa, kama huna pesa huwezi rudia mara mbili unaishia kuwa Dallaz.
 
Anavyopenda sifa na kujimilikisha nyumba za kupanga South unafikiri angekuwa na pesa ya kujenga dream house sasahivi hapa Bongo asingejenga??

Hizo show off za pesa ni zipi? Kupanda ndege kwenda South kupumzika wiki moja au kwenda Dubai vacation?? Ebu niambie hizo show za pesa nyingi unazozisema mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…