Diamond na kujimilikisha mali ambazo sio zake

Kwa hiyo level ya Diamond atembelee gari? Yaani VX zaidi mil 200 unaona gari kawaida duuu
VX ya Diamond sio latest version iuzwe bei hiyo.. Gari la hadhi yake ni Rolls Royce, vipi hapo?
 
Typing error tu.. Diamond ni huyo anamiliki 2pc
Typing error? How........?au kama unayo yako ambayo ina verify 2% weka,halafu hiiyo ni ya TCRA si janjajanja.

Ila si shangai wewe umechagua kubisha unabishana mpaka na chombo cha serikali kilicho wapa leseni Wasafi,endelea kubisha na chuki zako ila hazimpunguzii hisa zake za 45%.So endelea kutuuzia chai JF.
 
Fisadi kuu acha tufurahi bwana,una uliza maswali kama wakili.
 
VX ya Diamond sio latest version iuzwe bei hiyo.. Gari la hadhi yake ni Rolls Royce, vipi hapo?
Kwa hiyo sababu anatembelea VX hana hela?.

Mimi si angalii hadhi mimi natizama hela zile gari hata ukisoma sio latest,ila nina uhakika total ya magari yote mawili inavuka mil 300.

Kwangu mimi 300mil ni parefu sana mpaka mtu anazeweka barabarani lazma umpe heshima yake.Ila si kulazimishi kumpa heshima kwani ww umechagua kubisha na ndio maana unabishana mpaka na document ya TCRA.
 
alikiba vipi anazo?
 
VX ya Diamond sio latest version iuzwe bei hiyo.. Gari la hadhi yake ni Rolls Royce, vipi hapo?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] zile V8 ni za kampuni WASAFI MEDIA, yeye kama yeye ana gari moja tu. Pia zile gari sio mpya kama udhaniavyo ni matoleo ya 2014 wakapeleka pale kwa TTTRAUTO wakazipimp na kuziupgrade to version ya 2016
 
tatizo huyo bwana muongo muongo.
1 rolls Royce IPO wapi?.
2.kampuni ya betting IPO wapi?
3.chibu dangote ya kwake ?kama ya kwake ina maana kafirisika?au biashara mbaya?
4.diamond KARANGA zimefirisika?.
anaweza akawa na hela ILA AWE MKWELI.
aaidanganye watu kuwa vitu Fulani NI vyake kumbe NI BALOZI TU.
hyo wasafi yenyewe ukichunguza vizuri KUNA MIKONO WA WATU WENGI TU NAO WANAVUTA MPUNGA
Binamu punguza wivu, mtaa mzima kakomba vile vinyumba kabomoa kajenga mansions, Sandra anakomba kodi on monthly basis...Domo ana pesa ka mchanga[emoji134]
 
Mkuu diamond anamiliki 2% ya Wasafi.. VX za Diamond zile zote mbili Million 130 tu. Na sio zake ni mali ya Wasafi Media
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] zile V8 ni za kampuni WASAFI MEDIA, yeye kama yeye ana gari moja tu. Pia zile gari sio mpya kama udhaniavyo ni matoleo ya 2014 wakapeleka pale kwa TTTRAUTO wakazipimp na kuziupgrade to version ya 2016
Wabongo wanachachawa na Upholstery ya hizo gari za 2013.. Eti moja inauzwa million 200. Nimecheka sanaaa
 
Mkuu diamond anamiliki 2% ya Wasafi.. VX za Diamond zile zote mbili Million 130 tu. Na sio zake ni mali ya Wasafi Media
We nakuambia mbishi hata wakiweka document za hizo magari utasema "typing error........pale ilitakiwa kuwa Nasra na si Nasibu..........."

Haya tufanye basi zote mbili mil 130 ,ina maana 130 ni ndogo? Ila hii JF watu wanavyo jitanua utazani wana hela kumbe wanalala kwenye vyumba virefu wa mwisho kulala wa kwanza kuamka.

Ndio maana nika kwambia umechagua kubisha,unabishana mapaka na document za TCRA,so hata Diamond akiweka Document yoyote ya kuonyesha anachomiliki utasema "typing error........yule ni Nasra na si Nasibu........."

Ila endelea kujiliwaza kwani havimpunguzii chochote Diamond,zaidi ya kujifurahisha na kuipalilia chukia yako ,unabishana mpaka na gazeti na TCRA wenyewe 😀.
 
Jaribu kuelewa, Diamond ana asilimia 2 tu kama vile Lemutuz alivyopewa asilimia 0.2 na Davis Mosha..

Million 130 si pesa nyingi kama unavyodhani. Vijana wengi tu wa kibongo hizo pesa wanazo ingawa mimi sina na sitakaa niwe nazo mkuu wangu..
 
Huyo jamaa nimegundua anabisha upumbavu tuu na chuki binafsi zinamsumbua
 
Wew jamaa itakua hujua biashara kwani alivyoanzisha chibu perfume alikwambia hiyo biashara ataifanya kwa miaka 10 inawezekana alifanya akaona haina faida kwake akaiacha na hata wew ukianzisha biashara ukaona hailipi si unaacha tuu au unataka awaaminishe watanzania kwamba bado anafanya biashara wakati anapata hasara
 
Jaribu kuelewa, Diamond ana asilimia 2 tu kama vile Lemutuz alivyopewa asilimia 0.2 na Davis Mosha..

Million 130 si pesa nyingi kama unavyodhani. Vijana wengi tu wa kibongo hizo pesa wanazo ingawa mimi sina na sitakaa niwe nazo mkuu wangu..
Sawa ndio maana nika kwambia unakipaji cha ubishi,unabishana mpaka na gazeti na TCRA wenyewe ila hara ukibisha vipi haito punguza 45% anayo miliki Diamond.

Hilo la Lemutuz silijui sababu sina kitu cha kuprove.
 
Sawa mkuu ila zile VX zake usiziogope sana.. Ni gari za kawaida mno..

Ameziokota kwa bei rahisi akazipeleka pale Azam Upholstery.. Rolls Royce nasikia imekwama pale Suez Canal kwenye ile meli iliyogonga kuta za ule mfereji
 
Daah unakuta mtu kama huyu et naye ana dem au ni kichwa cha familia🤔
Matusi ya nini ndugu? Mbona huyo niliyemqoute hakuna aliponitukana alafu wewe ambaye huusiki chochote na hiyo conversation unakuja kutukana??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…