Kukosea kupo usitoe kibanzi wakati wewe una liboliti hakuna kitu kama hiko ulichosema..."Barabara ya kilwa au Kilwa Road baaasii"
Kama ilivyo CRDB Bank. Ile 'B' ni Bank
wenye lugha yenu kina nani nyie wenzetu!?
na mpo lands zipi za Tz!?
"Ukishindwa kujiandaa jiandae kushindwa mjinga utaachwa unashangaa kumuona Martin Kadinda U-smart anautinga majumba mandinga ya bwana almasi,je hizi tracks za harakati ni ujinga? Hapana nguvu ya mamba ni maji na umaarufu au kutamba kushika namba ni Bahati"
Itakuwa BMW X6 mzee! Ila sasa kwa bongo ni msanii gani anaimiliki? Labda presidenti mwenyewe!
Huyu si alifungua ofisi nzuri kuzidi hata za matajiri na waajiri wakubwa hapa Tz lakini anachokifanya na ofisi hiyo akieleweki!Heeee! jamani mwambien asisahau kumnunulia na Wema naye atambe nalo tena
Yap pia majina kama Bendera Tatu, Rangitatu, Magogoni, yamebaki kuwa kama yalivyo.Kilwa Road ni jina tulilolizowea watu wa Dar toka enzi za mkoloni. Haya mambo ya barabara yalikuja baadae.
Mfano leo hii mtu wa zamani wa Dar akikuelekeza makutano ya Mtaa wa Msimbazi na Kilwa Road anakwambia pale DMT wakati DMT ilikufa zamani sana, wa baadae kidogo atakwambia pale KAMATA wakati nayo hali kadhalika ilishakufa wengine wa juzi watakwambia pale Scandinavia na yenyewe haina uhai tena. Hivyo ni vitu vy a kawaida na si makosa.
Leo hii duniani Pampers imekuwa neno mbadala badala ya jina.
Tunaambiwa kawekeza sana kwenye real estate.
MY TAKEplatinumz sasa anamiliki gari aina ya land cruiser v8 mpya! Rekodi ambayo Haijawai kuvunjwa na msanii yeyote ktk nchi hii! Ikumbukwe v8 ni gari la kifahari linatumiwa na viongoz wa juu nchini km waziri mkuu na baadhi ya mawaziri ! Inakadiriwa kuwa na dhamani ya mil 300! Ni dhahiri shairi huyo kijana sasa ametoka! ! Hongerasana naseeb!
Itakuwa BMW X6 mzee! Ila sasa kwa bongo ni msanii gani anaimiliki? Labda presidenti mwenyewe!
We mama umeshaanza kuchanganya madawa, jina sio "kilwa road", ni kilwa.Kusema barabara ya Kilwa Road si kukosea ni sahihi kabisa. Utabadilishaje jina? "Kilwa Road" ni jina.
Kubadili matamshi si kukosea, ni kutokujuwa, utakuta wengi Kiswahili si lugha mama kwenu ni lazima wenye lugha yetu tuwarekebishe.
Kilwa Road ni jina tulilolizowea watu wa Dar toka enzi za mkoloni. Haya mambo ya barabara yalikuja baadae.
Kumbuka kuwa majina yakisha kuwepo sana hugeuka kuwa maneno, mfano leo hii mtu wa zamani wa Dar akikuelekeza makutano ya Mtaa wa Msimbazi na Pugu Road (Now Nyerere Road) anakwambia pale DMT wakati DMT ilikufa zamani sana, wa baadae kidogo atakwambia pale KAMATA wakati nayo hali kadhalika ilishakufa wengine wa juzi watakwambia pale Scandinavia na yenyewe haina uhai tena. Hivyo ni vitu vy a kawaida na si makosa.
Leo hii duniani Pampers imekuwa neno mbadala badala ya jina.
Pampers ni aina ya diapers,zipo aina nyingi ni sawa na kusema kituo cha mafuta kampuni ya Puma ukasema nipo Sheli ya Puma yote ni makosa,hauwezi kwenda dukani na kusema nipe pampers za pinpon hayo ni makosa,Barabara=Road hauwezi kurudia na pia hauwezi kusema naenda benki ya CRDB ni kosa sema naenda CRDB.
SIo kosa LAKE JAMANI KIBONDO ALIPO GARI KAMA HILO
umeongea point ila hapo kwenye CRDB umechemka mbaya, sasa hivi CRDB haina kirefu kama ilivyokua, Kwaiyo mtu kusema naenda Bank ya CRDB nisawa kabisa...