Diamond Platinumz amiliki gari ya thamani kubwa

Ni mtazamo tu maana hata Jay Dee na AY wanayo uwezo wakutosha sana ila wanatofautiana kwa LIFE STYLE.
Kwa niaba yako nampa hongera.
 

Ukitaka hayo TRA waanze kujiuliza, ni pale Diamond atakapotangaza atazunguka nchi nzima kumpigia kampeni Dr Slaa.
 
hapa anzungumziwa dearmonde wewe kadinda unamleta wa nn, unamuuza??

U-smart anautinga majumba mandinga ya almasi,je kwa hii mistari nayo ni ujinga? Hauwezi kumtenga Martin na Diamond,Wema meneja wake ni Martin,Diamond mkewe ni Wema,So Martin anam-manage mke wa diamond.
 
mmh Labda Kama chief kiumbe amemuuzia.. maana ile Gari ilikuwa ya chief kiumbe ..
 

Tuwekee bango la CRDB tukuamini.
 

Makosa yanini wewe wakati hata wewe kuna vitu huvijui kuwa vilianzia kwa majina mengine na yakawa mengine baada ya muda hata Yeshua akawa Jesus na unamuita kwa jina hilo kila siku ambalo mwenyewe alipokuwepo hajawahi kulisikia hata siku moja.

Kanata imekuwa Canada ni lini wewe uliita Canada kwa jina lake sahihi Kanata?

Mfano mwingine ni Tabloid, ni nani leo hii a/ukisikia au a/ukisoma neno tabloid a/unalihusisha na vidonge vya dawa?
 

Tunasema barabara ya Kilwa Road kama tunavyosema Benki ya NBC au Benki ya CRDB. Hakuna makosa. Ingekuwa tunatumia lugha moja ndio kosa.

Mtu anakuuliza unaenda wapi, unamwambia nakwenda bendera tatu, hizo bendera ziko wapi? au unamwambia nakwenda mnazi mmoja, huo mnazi uko wapi? na hakuna kosa ulifanyalo, ni utamu wa lugha.

Mie mpaka leo makutano ya Msimbazi na Pugu road napaita DMT, hiyo DMT iko wapi? au wewe uliyezaliwa baada ya kufa DMT hapo utapajuwa? lakini nalo si kosa.
 

Dada ulipotelea wapi? nilikumiss sana
 
hilo gari sio lake amepigia picha tu ku make story mitandaoni na kwa magazeti ya udaku na ndo maana kama umeona picha aliyopiga na gari hilo ameficha namba za mwanzo za usajili wa gari hilo ili asije akaumbuliwa kuwa gari si lake
 
Faiza, usitake kulazimisha mazoea yawe sheria, namaanisha, kusema Naenda benki ya CRDB au naenda benki ya NBC ni makosa, sio sahihi, unatakiwa kusema naenda NBC, hapo tayari mtu ataelewa kuwa unaenda benki, kwa sababu kwenye NBC tayari neno benki limo, kusema Benki ya NBC ni kurudia neno benki mara mbili, yaani, ni sawa na kusema "Naenda kunywa maji ya kunywa.
 
Hakuna utetezi wowote hapa, tunazungumzia kurudia neno moja mara mbili, sio majina yaliyobadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…