Diamond Platinumz amiliki gari ya thamani kubwa

Diamond Platinumz amiliki gari ya thamani kubwa

U-smart anautinga majumba mandinga ya almasi,je kwa hii mistari nayo ni ujinga? Hauwezi kumtenga Martin na Diamond,Wema meneja wake ni Martin,Diamond mkewe ni Wema,So Martin anam-manage mke wa diamond.
Mkuu, unaniacha hoi tu unaposema " u-smart anautinga majumba mandinga..."
 
Hakuna utetezi wowote hapa, tunazungumzia kurudia neno moja mara mbili, sio majina yaliyobadilika.

Kurudia neno moja mara mbili kwa jina ambalo limezoweleka hususan unapotumia lugha mbili tofauti si tatizo.
 
mmh Labda Kama chief kiumbe amemuuzia.. maana ile Gari ilikuwa ya chief kiumbe ..

Inaezekana maana chief Kiumbe alikuwa haitumii namba, alikuwa anatumia kibao cha jina lake KIUMBE. Nashangaa eti gari mpya ina namba B wakati B ni ya mwaka juzi.
 
Inaezekana maana chief Kiumbe alikuwa haitumii namba, alikuwa anatumia kibao cha jina lake KIUMBE. Nashangaa eti gari mpya ina namba B wakati B ni ya mwaka juzi.

^
Picha Zote Diamond alizopiga nayo hyo gari kaficha namba na kiatu zisionekane,namshauri kwa msanii mkubwa kama yeye kutembelea gari ya namba B bora aweke kibao cha 5m,halafu kununua magari kwa hawa mapedejhee ni risk sana vitu vyao vingi magumashi.
 
Msanii wa kizazi kipya diamond platinumz sasa anamiliki gari aina ya land cruiser v8 mpya! Rekodi ambayo Haijawai kuvunjwa na msanii yeyote ktk nchi hii! Ikumbukwe v8 ni gari la kifahari linatumiwa na viongoz wa juu nchini km waziri mkuu na baadhi ya mawaziri ! Inakadiriwa kuwa na dhamani ya mil 300! Ni dhahiri shairi huyo kijana sasa ametoka! ! Hongerasana naseeb!
Wewe unatangaza magari ya wanaume wenzako utatangaza lini ya kwako.
 
IMG-20140117-WA0105.jpg
 
hawa watu wakifiliska wanafiliska vibayas,hivyo asipojipanga oooohoooo,atazikwa katka jeneza la mbao ambazo hazikulandwa,nampongeza ila awekeze,magari ni vitu vya kupita tu.
 
hakika kama muziki ungekuwa unalipa kutokana na namna unavyoumiza kichwa katika kuandika mashairi basi huyu jamaa angekuwa anaendesha ferrari achana na v8! Big up fid

hakika umenena kabisa maana huyu jamaa ana andika sijapata kuona.

Na kweli kila kitu ni bahati. Hila fidq atabaki kuwa mkali wao.
 
2.jpg

"ukishindwa kujiandaa jiandae kushindwa mjinga utaachwa unashangaa kumuona martin kadinda u-smart anautinga majumba mandinga ya bwana almasi,je hizi tracks za harakati ni ujinga? Hapana nguvu ya mamba ni maji na umaarufu au kutamba kushika namba ni bahati"

umenikosha sana na hii mistari.
 
Gari ya Japan ni gari ya Japan tu na Gari ya Ulaya ni gari ya Ulaya tu.

attachment.php


View attachment 133074

usipende kukariri....nimekuwekea lugha rahisi.....vx v8 inaanzia hio 65,000GBP na bmw x6 inaanzia 48,000GBP....kauli hii haina maana kuwa hakuna x6 ya 65,000 ipo hata ya GBP 100,000 lakini kifupi ukiwa na GBP 48,000 UNAENDESHA X6 LAKINI VX V8 HUGUSI.....mimi ni mpenzi mkubwa wa european cars lakini nakubali vx v8 is expensive machine.
 
Back
Top Bottom