Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
dUH!!! Hii kumbe ni zaidi ya nilivyojua, Yote kwa yote simba ni habari nyingineDiamond hakumuomba Jason bali former creative director of MTV Base Tim Horwood alipewa kazi ya kuchagua wasanii kufanya kazi na Jason na hiyo project Diamond kalipwa kufanya nyimbo na kuperform (Refer intv with lil ommy) .Daimond hakumuomba darulo bali uwezo wake ndio umemuwezesha kuwepo ktk hiyo list.
πHata Kiba Naye Kashirikishwa Sema HAPENDAGI SHOW OFF
.Zote zitatumikaππ mara ya kwanza alikuwepo jason derulo peke yake, Diamond platnumz vile alivyo mjanja mjanja akaomba nae awepo kenye emix, Jason hakuweza kukataa kwa sababu ni mshkaji wake diamond so akaamua kumoa pande mjanja wa tandale.. Kijana wetu anapambana sana kuhakisha Tanzania inafika mbali kimuziki, Watanzania hatukuwai kufikiria kama tungekuwa na msanii ambaye ataonekana katika matangazo ya kombe la dunia.
Kwa mara nyingine tena DIAMOND PLATNUMZ kafanya ambayo watanzania wengi hatukufikiria yangewezekanaππ
Kuna kipindi flan Nasib Abdul,maarufu kama Diamond alisema kala shavu la kwenda kuimba kwenye ufunguzi wa michezo ya WC!!
Sasa hapa naona jina lake halipo,wapenzi wajuzi wa mambo,mnaweza tupapasia kipi kimejiri??? View attachment 783752[/QUO
Tambua miziki ya world Cup inakuwaga miwili ya wadhamini coca cola na kuna wa FIFA reference Waving Flag Keane na Wakawaka by Shakira na yote ina performiwa either mwanzo wa mashidano na Mwisho wa mashindano usisahangae sana Will Smith wake ni wa FIFA wenyweKuna kipindi flan Nasib Abdul,maarufu kama Diamond alisema kala shavu la kwenda kuimba kwenye ufunguzi wa michezo ya WC!!
Sasa hapa naona jina lake halipo,wapenzi wajuzi wa mambo,mnaweza tupapasia kipi kimejiri??? View attachment 783752
Ni wimbo wa Coca cola.Kuna kipindi flan Nasib Abdul,maarufu kama Diamond alisema kala shavu la kwenda kuimba kwenye ufunguzi wa michezo ya WC!!
Sasa hapa naona jina lake halipo,wapenzi wajuzi wa mambo,mnaweza tupapasia kipi kimejiri??? View attachment 783752
Hivi huyu mwanamuziki ni kombe la dunia ipi analosubiri kuimba?