Zote zitatumika😉😉 mara ya kwanza alikuwepo jason derulo peke yake, Diamond platnumz vile alivyo mjanja mjanja akaomba nae awepo kenye emix, Jason hakuweza kukataa kwa sababu ni mshkaji wake diamond so akaamua kumoa pande mjanja wa tandale.. Kijana wetu anapambana sana kuhakisha Tanzania inafika mbali kimuziki, Watanzania hatukuwai kufikiria kama tungekuwa na msanii ambaye ataonekana katika matangazo ya kombe la dunia.
Kwa mara nyingine tena DIAMOND PLATNUMZ kafanya ambayo watanzania wengi hatukufikiria yangewezekana😉😉