Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

Diamond hakumuomba Jason bali former creative director of MTV Base Tim Horwood alipewa kazi ya kuchagua wasanii kufanya kazi na Jason na hiyo project Diamond kalipwa kufanya nyimbo na kuperform (Refer intv with lil ommy) .Daimond hakumuomba darulo bali uwezo wake ndio umemuwezesha kuwepo ktk hiyo list.
dUH!!! Hii kumbe ni zaidi ya nilivyojua, Yote kwa yote simba ni habari nyingine
 
Zote zitatumika😉😉 mara ya kwanza alikuwepo jason derulo peke yake, Diamond platnumz vile alivyo mjanja mjanja akaomba nae awepo kenye emix, Jason hakuweza kukataa kwa sababu ni mshkaji wake diamond so akaamua kumoa pande mjanja wa tandale.. Kijana wetu anapambana sana kuhakisha Tanzania inafika mbali kimuziki, Watanzania hatukuwai kufikiria kama tungekuwa na msanii ambaye ataonekana katika matangazo ya kombe la dunia.

Kwa mara nyingine tena DIAMOND PLATNUMZ kafanya ambayo watanzania wengi hatukufikiria yangewezekana😉😉
.
jason n mshkaji wake diamond!! how mkuu,na tangazo lipi hadi sasa kaonekana maana derulo kashafanya matangazo kadhaa,hio remix hapo usiseme ndo tangazo lenyewe'
 
Kuna kipindi flan Nasib Abdul,maarufu kama Diamond alisema kala shavu la kwenda kuimba kwenye ufunguzi wa michezo ya WC!!

Sasa hapa naona jina lake halipo,wapenzi wajuzi wa mambo,mnaweza tupapasia kipi kimejiri???
IMG-20180522-WA0028.jpg
 
Ndo nashangaa pia! Kumbe was stunt!! Leo ndo nimechoka na hawa watu!!
 
Hahaha ina maan wabongo kupongeza kote kule kumbe hamn cha maana ??? ngoja tusubiri waje kwa upande wangu sijaamini bado
Kuna kipindi flan Nasib Abdul,maarufu kama Diamond alisema kala shavu la kwenda kuimba kwenye ufunguzi wa michezo ya WC!!

Sasa hapa naona jina lake halipo,wapenzi wajuzi wa mambo,mnaweza tupapasia kipi kimejiri??? View attachment 783752[/QUO
 
Kuna kipindi flan Nasib Abdul,maarufu kama Diamond alisema kala shavu la kwenda kuimba kwenye ufunguzi wa michezo ya WC!!

Sasa hapa naona jina lake halipo,wapenzi wajuzi wa mambo,mnaweza tupapasia kipi kimejiri??? View attachment 783752
Tambua miziki ya world Cup inakuwaga miwili ya wadhamini coca cola na kuna wa FIFA reference Waving Flag Keane na Wakawaka by Shakira na yote ina performiwa either mwanzo wa mashidano na Mwisho wa mashindano usisahangae sana Will Smith wake ni wa FIFA wenywe
 
Msichanganye wimbo wa kombe la dunia na wimbo wa cocacola

Diamond anaimba wimbo wa cocCola kwa sababu ni balozi wa coca.
 
Kuna kipindi flan Nasib Abdul,maarufu kama Diamond alisema kala shavu la kwenda kuimba kwenye ufunguzi wa michezo ya WC!!

Sasa hapa naona jina lake halipo,wapenzi wajuzi wa mambo,mnaweza tupapasia kipi kimejiri??? View attachment 783752
Ni wimbo wa Coca cola.
Sio wa worl cup. Ni vitu viwili tofauti.

Fifa hawamjui diamond
 
jamaa alikuwa kila siku anaita press conference na kudai ameshirikishwa kwenye nyimbo maalum ya fifa world cup 2018 na jason derulo kumbe alichokifanya ni kuchukua nyimbo na kuedit na kuweka sauti yake
Uwongo huo ni kwa manufaa ya nani???

Hebu tazama nyimbo yenyewe hapa uone usanii wake
 
Tatizo haipandi mbona Kuna mdau humu kaweka link ya habari hii na inaelezea vizuri
 
Back
Top Bottom