Diamond Platnumz ajibu shutuma ya kudaiwa Wasafi ni wanyonyaji

Tatizo kubwa mnoo la misukule wa NDOMO Ni kukosa kumbukumbu.

Utayasikia hii ni DUNIA ya KIBEPARI, haluna msaada pale Wasafi ni biashara. WCB siyo Charity.

Ukiyaambia, yes ilikuwa ni biashara na kila mtu wanalipana pesa.

Utayasikia tena hukubyakipanua MDOMO Kama CHAI JABA. Mtu kasaidiwa halafu Hana hata shukrani kabisa. Yaani unatakiwa uadhiviwe, ushughulikiwe, utoe pesa halafu uendelee kumwabudu Kibwengo Domo.

tumezoea vitonga mtu anataka jina liwe kubwa alaf asilipe chochote biashara haziend hivyo na hakuna kuangaliana usoni mikataba umesaini iweje leo useme unanyonywa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahii kabisa,
Management ya wasafi inafanya KAZI na uwekezaji mkubwa Sana ndo maana mziki wao unafika mbali.

Diamond kwenda kushoot video Nigeria kwa TgOmory kwa makumi elfu ya dolali sio kwamba kina hascana hawawezi, Bali anaangalia international market.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wakati the late Ruge akifanya haya mbona alishutumiwa sana kuwanyonya wasanii akiwepo huyu Dai?😆..
 
Sio mara ya kwanza Mondii kuzungumzia ichi kituu. Malegend wa bongofleva wengi wanaishi maisha ya njaa kutokana na kutoutambua muziki wao kuwa ni Biashara.

Biashara inaanza na cost then profit. So unataka kutoka cost unailipaje?(kumbuka cost ni

Wewe kiazi ni mmoja ya vizibo hopeless ulimwenguni.
Punguza jazba jikite kwenye hoja
 
Haya ni majibu ya mtu mwenye uelewa mkubwa wa kitu anachokifanya. Japo hatujui mengi nyuma ya pazia, lakini Diamond amejibu vyema sana.
 
Mkuu wakati the late Ruge akifanya haya mbona alishutumiwa sana kuwanyonya wasanii akiwepo huyu Dai?😆..
Wewe unachanganya mambo mawili tofauti Ruge alikuwa analalamikiwa na Wasanii kwamba usipokubaliana nae maslahi nyimbo zako azisikiki Clouds media na huo mchezo alifanyiwa Ruby alikataa kuperform fiesta kwa kutakiwa alipwe laki 7 baada ya kukataa Ruge akapiga stop ngoma zake kuchezwa redioni badala yake akamtafuta mtu atakayechukua nafasi yake ambaye alikuwa ni Nandy, jambo la pili alikuwa analalamikiwa na Wasanii ni kutumia THT kama label yake wakati Serikali ndio wameitengeneza la mwisho kutumia mabinti kingono mfano Zamaradi, Nandy n.k
Lavit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…