Hushawahi kusikia Konde kasema alikuwa anaingizia kiasi gani?Amezungumzia upande mmoja tu wa hela waliowekeza wao (500M) lakini mbona hasemi wao kama label wameingiza revenue kiasi gani kutoka kwa huyo msanii? Manake Konde alivyoondoka ndio akafunguka kwamba alikuwa anachukua 40% huku wasafi wanachukua 60%... Kwa huyu wametengeneza kiasi gani?
Point yangu ni kwamba ule ulikuwa ni mkataba ambao pande zote zimefaidika na sio suala la kwamba upande mmoja umetoa fadhila kwa upande wa pili ambao walikuwa hawajulikani. Huwezi kutumia justification ya kwamba umewekeza hela nyingi kwa msanii wakati msanii huyo huyo nae amekuingizia hela pia (kitu ambacho hakisemwi).Hushawahi kusikia Konde kasema alikuwa anaingizia kiasi gani?
Au may be label yoyote Tanzania au Africa ushawahi kusikia wakisema wameingiza kiasi fulani kutoka kwa msanii fulani?
Hivi katika hiyo 60 yote anachukua diamond au inakwenda kwenye mgawanyo wa rabel Kisha kinachobakia ndio kinakuwa Kama faida au ipoje hapo?Amezungumzia upande mmoja tu wa hela waliowekeza wao (500M) lakini mbona hasemi wao kama label wameingiza revenue kiasi gani kutoka kwa huyo msanii? Manake Konde alivyoondoka ndio akafunguka kwamba alikuwa anachukua 40% huku wasafi wanachukua 60%... Kwa huyu wametengeneza kiasi gani?
Kama ni wewe ingekuwa unamiliki biashara yako ungelipana pasu kwa pasu na wafanyakazi wako?Point yangu ni kwamba ule ulikuwa ni mkataba ambao pande zote zimefaidika na sio suala la kwamba upande mmoja umetoa fadhila kwa upande wa pili ambao walikuwa hawajulikani. Huwezi kutumia justification ya kwamba umewekeza hela nyingi kwa msanii wakati msanii huyo huyo nae amekuingizia hela pia (kitu ambacho hakisemwi).
Ndio mikataba iheshimiwe lakini isiwe kwa lengo la kukomoa upande mmoja.
Sio lazima... Lakini at least acknowledge mchango wake kwenye mafanikio yako na sio kutumia rungu la kusema umemchukua wakati hana jina na umewekeza hela kwake as if hana mchango wowote kwako.Kama ni wewe ingekuwa unamiliki biashara yako ungelipana pasu kwa pasu na wafanyakazi wako?
Konde boy anampa ibra share ya kiasi gani tuanzia hapa kwanzaAmezungumzia upande mmoja tu wa hela waliowekeza wao (500M) lakini mbona hasemi wao kama label wameingiza revenue kiasi gani kutoka kwa huyo msanii? Manake Konde alivyoondoka ndio akafunguka kwamba alikuwa anachukua 40% huku wasafi wanachukua 60%... Kwa huyu wametengeneza kiasi gani?
Probably nae anamnyonya pia mwendelezo ule ule...Konde boy anampa ibra share ya kiasi gani tuanzia hapa kwanza
Hata asipomchukua yeye anachukua mwingine na anamtengeneza anakuwa mkubwa Tanzania tuna label 4 kama sikosei ukiitoa Wasafi nitajie label ipi umetengeneza msanii kuwa mkubwaSio lazima... Lakini at least acknowledge mchango wake kwenye mafanikio yako na sio kutumia rungu la kusema umemchukua wakati hana jina na umewekeza hela kwake as if hana mchango wowote kwako.
Kama anashindwa kumpa msanii wake 40 of share yeye analilia nini apewe sawa na alikuwa boss wakeProbably nae anamnyonya pia mwendelezo ule ule...
Amezungumzia upande mmoja tu wa hela waliowekeza wao (500M) lakini mbona hasemi wao kama label wameingiza revenue kiasi gani kutoka kwa huyo msanii? Manake Konde alivyoondoka ndio akafunguka kwamba alikuwa anachukua 40% huku wasafi wanachukua 60%... Kwa huyu wametengeneza kiasi gani?
Nani kakomolewa?Point yangu ni kwamba ule ulikuwa ni mkataba ambao pande zote zimefaidika na sio suala la kwamba upande mmoja umetoa fadhila kwa upande wa pili ambao walikuwa hawajulikani. Huwezi kutumia justification ya kwamba umewekeza hela nyingi kwa msanii wakati msanii huyo huyo nae amekuingizia hela pia (kitu ambacho hakisemwi).
Ndio mikataba iheshimiwe lakini isiwe kwa lengo la kukomoa upande mmoja.
Hio 500m ilikuwa ni fadhila au investment ambayo most likely imerudi kutokana na hela ya mgawanyo wa mapato yaliokuwa yanaingia?Nani kakomolewa?
Hivi leo Mondi hasingekuwa na label, hasinge ingiza hela? Ila ninavyo wajua wabongo wangesema "ana roho mbaya,hataki kuanzisha label anataka kuwa yy........".
Hivi brother unamchukua msanii kwanza aliambiwa mbele ya umma hajui kuimba, hana mbele wala nyuma,huoni jamaa ana moyo na huruma ya hali ya juu,ambayo watu wengi hawana (hata mimi na ww hatuna), hapo ana miaka mitatu WCB hana project yoyote,ila wana mfundisha kuimba, kuvaa, connection na wasanii wakubwa wa Africa.
Si angeamua tuu hiyo hela 500m aende
TCRA akanunue frequency aongeze mkoa mmoja wa kurusha matangazo Wasafi Media au angetafuta plot angejenga nyumba sasa hivi angekuwa anakula hela na hizi kelele anawanyonya angeziepuka,ingekuwa yy na mziki wake na projects zake.
Fanya hivi tumefungua biashara mimi na wewe. Mimi nimewekeza mtaji wa sh mil 10, wewe Kiongozi Wa Wajuaji ukawekeza mil 50 halafu ikipatikana faida tugawane asilimia 50 kwa 50. Ungekubali? Kuwa mkweli.Whatever the amount of money he had invested to them,He should give them 50 of the shares not 40.
Kwangu ni investment yenye huruma ndani yake, kwa hali aliyokuwa nayo BSS hamna mtu ambaye angekubali kueka hela yake hayupo.Hio 500m ilikuwa ni fadhila au investment ambayo most likely imerudi kutokana na hela ya mgawanyo wa mapato yaliokuwa yanaingia?
StupidWhatever the amount of money he had invested to them,He should give them 50 of the shares not 40.
Kama ingekuwa investment inafanyika kwa HURUMA basi hata Hamorapa angesainiwa wasafi...Kwangu ni investment yenye huruma ndani yake, kwa hali aliyokuwa nayo BSS hamna mtu ambaye angekubali kueka hela yake hayupo.
Tusiende mbali HATA WEWE HUSINGEWEKA HELA YAKO KWA HARMONIZE.
Sio kipimo ila kwa alicho kifanya BSS si ulikiona? Ni huruma na moyo kuwekeza kwa mtu kama Harmonize (kiuhalisia hata ww husingeweka hela yako) ,tena mtu mwenyewe aliye mwambia hajui kuimba ni Master Jay,still bado Mondi kajilipua kuweka hela yake.Kama ingekuwa investment inafanyika kwa HURUMA basi hata Hamorapa angesainiwa wasafi...
Nani amekwambia BSS ndio kipimo cha wanamuziki wazuri?