pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Wa ambieni dada zenu k/koo waje ulaya huumchezo hautaki hasira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh!!!?[emoji15]domo is better rapper than fid q
Hata ben pol ni balozi wa tembo mkuuwao wanapost TEMBO ,mi napost show....alikiba ni balozi wa Tembo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sio kweli bhana sema watu mnaconnect dotsDomo ana mambo ya kike sana alipoona alikiba katoa nyimbo na barakah akaaachia salome bila kutarajia kasikia video inatoka kaja na skendo nyingine
Yote anafanya ili kiba arudi kkoo domo bwana
ningekuwa mizengo....simba angeipata....sipendagi ujingayoh Sura mizengo ila bonge la bishoo/ Wananiita Sammo Hung jinsi nnavyowakaba koo
Aah Siachi pengo mpaka waombe poo / wao wakipost tembo si tunapost show
(aah eeh) mwambie na tirarira/ (aah eeh) Kamwe kanzu haifanani na dera/ (aah eeh) beki kadaka mpira/ (aah eeh) Huu mchezo hauitaji hasira
(Raaah) mara nakula Hamisa mobeto/ (raah) Ati sepenga kaja magheto/ (raah) ilimradi zari apate mchecheto
Tale waambie waache Unambinambi/ hata nikila wote dini yangu sio dhambi aah
Umeongea fact mkuu..unajua sielewagi watu mnaobishana kuhusu Kiba na Mondi,inafahamika Kiba ni mwanamuziki(anaweza Kuimba) lakini mondi ni Msanii(Yupo after Hela) kwaio ameinvest kwenye team kwa ujumla from videos na kila kitu ni Rahisi tu ivii kama kubusu kinyago!!
sawa....ndio maana amerap ajaimba...maana ina misingi yake pia hope umenielewaHata ben pol ni balozi wa tembo mkuu
Ni mfanyabiashara ya mahindi?..unajua sielewagi watu mnaobishana kuhusu Kiba na Mondi,inafahamika Kiba ni mwanamuziki(anaweza Kuimba) lakini mondi ni Msanii(Yupo after Hela) kwaio ameinvest kwenye team kwa ujumla from videos na kila kitu ni Rahisi tu ivii kama kubusu kinyago!!
Huu ndo utumwa tuoungelea kila siku kwani Ulaya ndo peponi au mbinguni... Poor mind [emoji57]Wa ambieni dada zenu k/koo waje ulaya huumchezo hautaki hasira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MTOTO WA KIUME KUIMBA MAFUMBO NA KUTOBOA KIPINI NDO DALILI ZA UPUNGA
Mkereketwa wa Domo naona 'jiwe' nililotupa limekupata kisawasawa hadi umetoka pangoni [emoji23] [emoji23] [emoji23].Kweli unazi ni upofu, nikukumbushe machache tu
Kiba - Nafanya project kubwa, siwezi kufanya video backstage kama Diamond na Davido (Number one rmx)
Kiba - Tuzo za Naijeria Diamond ananunua
Ndio nini?Ehe...
Unambinambi. ......
Wao ndo wanasafiria nyota ya KibaHalafu kuna wale wapuuzi kila siku wanasema Kiba anasafiria nyota ya domo...hii nini?
Kiba hajawahi kumdiss huyo domo lakini yeye leo kesho meneja wake Salam.
Kiba hawatoki akilini [emoji12].