Diamond Platnumz: All The Way Up Volume 2 (Awataja Wema Sepetu, Hamisa Mobeto & Zari)

Diamond Platnumz: All The Way Up Volume 2 (Awataja Wema Sepetu, Hamisa Mobeto & Zari)

Domo ana mambo ya kike sana alipoona alikiba katoa nyimbo na barakah akaaachia salome bila kutarajia kasikia video inatoka kaja na skendo nyingine
Yote anafanya ili kiba arudi kkoo domo bwana
 
Domo ana mambo ya kike sana alipoona alikiba katoa nyimbo na barakah akaaachia salome bila kutarajia kasikia video inatoka kaja na skendo nyingine
Yote anafanya ili kiba arudi kkoo domo bwana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sio kweli bhana sema watu mnaconnect dots
 
yoh Sura mizengo ila bonge la bishoo/ Wananiita Sammo Hung jinsi nnavyowakaba koo

Aah Siachi pengo mpaka waombe poo / wao wakipost tembo si tunapost show

(aah eeh) mwambie na tirarira/ (aah eeh) Kamwe kanzu haifanani na dera/ (aah eeh) beki kadaka mpira/ (aah eeh) Huu mchezo hauitaji hasira

(Raaah) mara nakula Hamisa mobeto/ (raah) Ati sepenga kaja magheto/ (raah) ilimradi zari apate mchecheto

Tale waambie waache Unambinambi/ hata nikila wote dini yangu sio dhambi aah
ningekuwa mizengo....simba angeipata....sipendagi ujinga
 
..unajua sielewagi watu mnaobishana kuhusu Kiba na Mondi,inafahamika Kiba ni mwanamuziki(anaweza Kuimba) lakini mondi ni Msanii(Yupo after Hela) kwaio ameinvest kwenye team kwa ujumla from videos na kila kitu ni Rahisi tu ivii kama kubusu kinyago!!
Umeongea fact mkuu
 
Ni mfanyabiashara ya mahindi?
 
Wa ambieni dada zenu k/koo waje ulaya huumchezo hautaki hasira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ndo utumwa tuoungelea kila siku kwani Ulaya ndo peponi au mbinguni... Poor mind [emoji57]
 
Kweli unazi ni upofu, nikukumbushe machache tu

Kiba - Nafanya project kubwa, siwezi kufanya video backstage kama Diamond na Davido (Number one rmx)
Kiba - Tuzo za Naijeria Diamond ananunua
Mkereketwa wa Domo naona 'jiwe' nililotupa limekupata kisawasawa hadi umetoka pangoni [emoji23] [emoji23] [emoji23].
 
Wanajenga majungu tunajenga vibanda... rraaaaaaaa.... [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Halafu kuna wale wapuuzi kila siku wanasema Kiba anasafiria nyota ya domo...hii nini?
Kiba hajawahi kumdiss huyo domo lakini yeye leo kesho meneja wake Salam.
Kiba hawatoki akilini [emoji12].
Wao ndo wanasafiria nyota ya Kiba
Wamebandika mpaka picha ya kiba studio kwao ya nini?
Raymond kamuimba wa nini?
Sallam alitikwa mapovu kwa sababu gani?
Diamond anamuimba kiba kila Mara akitafuta nini?
Nikipata majibu hapa ya kutosha zaidi ya matusi nakata pumbu la kushoto
 
Back
Top Bottom