Kama kijembe gani ambacho amewahi kumpigaDiamond kashampiga sana vijembe Kiba ndugu halafu em nikumbushe mimi lini diamond alitoa nyimbo then labda kesho yake kiba nae akatoa ila diamond alishafanya ivyo kwa zaidi ya nyimbo 5 za kiba na target amshushe kiba kwenye trending...
Diamond kafanikiwa kuliko kiba lkn yeye ndiye anayeteseka nadhani anafikiri ukubwa wa mziki wake ungemfanya watu wote tanzania wamshabikie yeye kitu ambacho hakiwezekani sasa anachoamua ni kuharibia watu ili kukomoa lkn Mungu nae ni wa wote watu bado wanatoa ngoma na zina hit...
Fuatilia interviews zake za nyuma utaelewa kwanini tunamchukia sisi watu tusiopenda upumbavuKelele kama zipi na sifa za kijinga kama zipi ambazo wasanii wote duniani hawafanyi
Sasa unaposema Ni baba lao akina hao?Huo ujinga usiosemwa ni upi?
Watu wote sisi zaidi ya watanzania mil 80 kwa makadirio wote hatuwezi kupenda mziki wake sisi wengine msanii wetu Bora ni Alikiba na nyie na uyo bigi wenu Ivo Ivo kwaio kuleta ujinga wa kutulazimisha tufikiri Kama nyie Ni kutukosea heshimaDiamond kashampiga sana vijembe Kiba ndugu halafu em nikumbushe mimi lini diamond alitoa nyimbo then labda kesho yake kiba nae akatoa ila diamond alishafanya ivyo kwa zaidi ya nyimbo 5 za kiba na target amshushe kiba kwenye trending...
Diamond kafanikiwa kuliko kiba lkn yeye ndiye anayeteseka nadhani anafikiri ukubwa wa mziki wake ungemfanya watu wote tanzania wamshabikie yeye kitu ambacho hakiwezekani sasa anachoamua ni kuharibia watu ili kukomoa lkn Mungu nae ni wa wote watu bado wanatoa ngoma na zina hit...
Ni sawa na wewe unaendesha gari hovyo barabarani na kukiuka sheria za barabarani kwenye mataa unavuka hata kama taa haziruhusu.Kelele kama zipi na sifa za kijinga kama zipi ambazo wasanii wote duniani hawafanyi
Nilijua huwezi jua vijembe vya diamond kwa kiba kama mimi nilivyokuwa sijui kiba alimpiga diamond vijembe gani kwenye hiyo interviewKama kijembe gani ambacho amewahi kumpiga
Ali kiba ana legacy yake kwenye mziki wa bongo fleva Diamond hata akaimbe mwezini na Michael Jackson,ashinde na Grammy hawezi poteza legacy ya KibaWatu wote sisi zaidi ya watanzania mil 80 kwa makadirio wote hatuwezi kupenda mziki wake sisi wengine msanii wetu Bora ni Alikiba na nyie na uyo bigi wenu Ivo Ivo kwaio kuleta ujinga wa kutulazimisha tufikiri Kama nyie Ni kutukosea heshima
Mdomo(Sio umbile).. kuongea ongea vijembe... Uswahili mwingi.. kujitapa.. kuchukia Watanzania wenzie(wasanii)
Nitoe mfano mdogo.. last week King Kiba kaachia Ndombolo.. this week kaachia Salute... Mond kaona hapana, haiwezekani watawale anga la mziki ngoja na yeye atoe kamata!
Sasa haya yote na Mambo mengine yasiyoelezeke yanafanya watu tuwe na roho ya korosho juu yake!!
Hatuchukii mziki wake.. He is super talented.. ila ule UTANDALE unamgharimu!!
Wasanii krb wote sifa kwao ndio kipaumbele,mwangalie dogo was nanjilinji kwa sifa,waangalie wasanii hata wakina marioo,tatizo sifa za mondi zinao ekana kuleta athari zaidi kwakua yy anafatiliwa na wengi zaidi,ila sifa ni mtindo was wasanii wengi sana,inabidi dogo mondi nae ajifunzage sasa,kwa cku za hv karibuni amekua mtu wa kupiga kimya na kupotezea sana,nadhani amekua sasa na ametuelewa wabongo hatutaki hivyo,ila sasa hao wanaojiita machawa ndio wanamuharibia jumla,yaani yy mondi haongei ila jibu likitolewa na chawa wake kina bb levo,cjui jlokole,cjui diva,cjui Aristotle,Mara cjui issa azam Mara cjui nani sisi tunajua ni jibu LA kampuni nzima na nimaelekezo kutoka kwake,vi nginevyo yy anatakiwa awakanye hao machawa waache kuongea hovyo na kujisifi,machawa kila mahali bwana??,...mwishowe ataitwa mondi machawaaa.......Mdomo wake na sifa zinamponza!!
Mimi si diamond wala alikiba wala harmonize naye mkubali kimziki, almost bongo fleva yote sina msanii naye mkubali (labda kwa uchache sana)Watu wote sisi zaidi ya watanzania mil 80 kwa makadirio wote hatuwezi kupenda mziki wake sisi wengine msanii wetu Bora ni Alikiba na nyie na uyo bigi wenu Ivo Ivo kwaio kuleta ujinga wa kutulazimisha tufikiri Kama nyie Ni kutukosea heshima
Hakuna mtanzania aliyefanikiwa kama au kuliko Diamond???Amefanikiwa sana. Wanaona Wivu
Mi sijui we unaona anazo zipi zitaje anawezekana hata yeye hajui kama ni tabiambaya mbaya pengineNi sawa na wewe unaendesha gari hovyo barabarani na kukiuka sheria za barabarani kwenye mataa unavuka hata kama taa haziruhusu.
Polisi anakuandikia faini we unasema "hampaswi kunitoza faini raia mwema kama mimi ambaye natoa hadi kodi.
wakati huko mitaani kuna majambazi na vibaka wenye kuua watu ambao mlipaswa kudili nao na kuacha kunisumbua raia mwema kama mimi"
Kwa kweli wahalifu wanaweza wakawepo lakini haiondoi maana kua huja kosea.
Ni kweli wapo wasanii wengi wenye sifa za kijinga, lakini hilo ni swala jingine.
Hoja ya msingi ni je ni kweli jamaa ana hizo tabia kweli au ana onewa?
Je ni yeye peke yake kwanii yeye tu na walikua wasanii wengi?Hakuna mtanzania aliyefanikiwa kama au kuliko Diamond???
Kwanini iwe yeye??
mimi binafsi huwa namkubali sana lakini kwa swala la kuungana na wadhalimu alinikwaza sana kiasi huwa simpigi vijembe lakini pia simtetei.
Na wewe ni masikini?Hii hoja ya kipumbavu sana mnapenda kuileta mashabiki wa bigi .Uyo jamaa yenu hakuna anaemchukia kwa ayo mafanikio yake Ila watu wanachukia ujinga wake
Mbona tangu mwanzo wa uzi wako unajibiwa hilo swali ndo maana hapo nyuma nilikwambia ASIYEJUA MAANA HAAMBIWI MAANAAkuna sehemu nimemtaja alikiba mi nachotaka kujua wapi diamond anakosea kama msanii
Achana nae huyo ni moja ya masikini anaeamini umasikini wake ni sababu ya utajiri wa MondiHuo ujinga usiosemwa ni upi?