Diamond Platnumz ang'ara kwenye jarida la Billboard kwa kufanya vizuri Youtube

Topic nzima inahusiana na Diamond kutokana na jarida la billboard kumtolea mfano yeye namna ambavyo anapuch music wake kupitia YouTube sasa wewe mbona unamtaja harmonize?
Hivi kumbe ni kosa eee? mbona hujamind nimemtaja davido
 
Wewe umeongea as if Ni lazima harmonize atajwe ndo maana nikakuambia hivyo.
Sijasema atajwe nimesema mbona amescreen short akaacha jina la harmonize? Kama watanzania tulipaswa kuwapa sapoti wote japo tunajua baba lao ni dimond lakini Harmo nae yupo nyuma na anafanya vzr. Kutomsifia au kumsifia Harmo hakumpaishi au kumshusha mond. Na kuhusu uzi ni wa dimond mbona watu wanawajadili kina davido kina burner?
 
Na leo wame mzungumzia tena Billboard, huku WCB ikitajwa moja ya label kubwa Africa.Kuna watu sio wa kuwachukia kwani ukimchukia atakukera tu.
Screenshot_20200603-151636.png
Screenshot_20200603-151714.png
 
Sijasema atajwe nimesema mbona amescreen short akaacha jina la harmonize? Kama watanzania tulipaswa kuwapa sapoti wote japo tunajua baba lao ni dimond lakini Harmo nae yupo nyuma na anafanya vzr. Kutomsifia au kumsifia Harmo hakumpaishi au kumshusha mond. Na kuhusu uzi ni wa dimond mbona watu wanawajadili kina davido kina burner?

Si ka screenxhot kwa uwamuzi wake na cm yake kwn we unashindwa kwenda uscreenxhot unayotaka ww ukaja kutupostia hapa

Usimpangie mtu maamuzi yake
 
Sijasema atajwe nimesema mbona amescreen short akaacha jina la harmonize? Kama watanzania tulipaswa kuwapa sapoti wote japo tunajua baba lao ni dimond lakini Harmo nae yupo nyuma na anafanya vzr. Kutomsifia au kumsifia Harmo hakumpaishi au kumshusha mond. Na kuhusu uzi ni wa dimond mbona watu wanawajadili kina davido kina burner?
Cajojo Hapo sio tu yupo harmonize mpaka rayvanny nae yupo ila nae ajazungumzwa hao waliomtaja Davido au burna boy awajazungumza Kama wewe ila wewe umemtaja Harmonize as if ameonewa au amebaniwa na mtoa mada ndio maana nimekujibu hivyo I think utakuwa umenielewa.
 
hawa billboard wakome kumtaja almasi kuna watu watakufa na pressure (alisikika mla unga1 akiwakaripia billboard
 
Back
Top Bottom