Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
ZuchuHeb dadavua hii kidogo chief..Nani huyo na wapi hiyo..samahan lakin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ZuchuHeb dadavua hii kidogo chief..Nani huyo na wapi hiyo..samahan lakin
Ngada?
Awahi clinic kabla hajawa diamond benzi
Kazi ya Simbwa fc hiyo, hili timu linatuharibia nguvu kazi nchiniKutokana na baadhi ya mashabiki na Watanzania kwa ujumla kushangazwa na muonekano wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnum, kwa mara ya kwanza amezungumzia kuhusu muonekano wa mwili wake akisema kuwa hata yeye haelewi sababu za kupungua.
Diamond Platnumz ameyasema hayo katika mtandao wa Instagram huku akionesha kushangazwa kutokana na kuendelea kupungua mwili wake kadiri siku zinavyokwenda. Alieleza kuwa si yeye pekee anayeshangazwa na mwili
wake kuendelea kupungua bali hata Watanzania wote wamekuwa wakiibua maswali mengi kwenye mitandao ya kijamii.
"Halafu nimekuwa mdogo kila siku nazidi kuwa mdogomdogo. Hilo suala linawachanganya Watanzania wengi," aliandika Diamond Platnumz.
View attachment 2424879
Bia anagonga freshYawezekana kwakuwa hali kitimoto na bia!
Kama sio ugonjwa ni poa tu,ma unene ya nini!?Kutokana na baadhi ya mashabiki na Watanzania kwa ujumla kushangazwa na muonekano wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnum, kwa mara ya kwanza amezungumzia kuhusu muonekano wa mwili wake akisema kuwa hata yeye haelewi sababu za kupungua.
Diamond Platnumz ameyasema hayo katika mtandao wa Instagram huku akionesha kushangazwa kutokana na kuendelea kupungua mwili wake kadiri siku zinavyokwenda. Alieleza kuwa si yeye pekee anayeshangazwa na mwili
wake kuendelea kupungua bali hata Watanzania wote wamekuwa wakiibua maswali mengi kwenye mitandao ya kijamii.
"Halafu nimekuwa mdogo kila siku nazidi kuwa mdogomdogo. Hilo suala linawachanganya Watanzania wengi," aliandika Diamond Platnumz.
View attachment 2424879
Kuna kile cha kishkaji kinakubalika mpaka WHO...Kitambi sio afya
😂😂Awahi clinic kabla hajawa diamond benzi
Alikuaga na tunyama nyama kipindi flaniKwani amewahi kua bonge