Diamond Platnumz ashangaa mwili wake kuendelea kupungua

Diamond Platnumz ashangaa mwili wake kuendelea kupungua

kupungua uzito pia ni dalili moja wapo ya upungufu kwa kinga mwilini,yaani UKIMWI
 
Sijui hili ni tatizo gani? Ndani ya miezi miwili nimepungua sana uzito ikabidi nikapime UKIMWI lakini sina.

Nakula vizuri tu ila mwili unapungua kwa kasi.
 
Kutokana na baadhi ya mashabiki na Watanzania kwa ujumla kushangazwa na muonekano wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnum, kwa mara ya kwanza amezungumzia kuhusu muonekano wa mwili wake akisema kuwa hata yeye haelewi sababu za kupungua.

Diamond Platnumz ameyasema hayo katika mtandao wa Instagram huku akionesha kushangazwa kutokana na kuendelea kupungua mwili wake kadiri siku zinavyokwenda. Alieleza kuwa si yeye pekee anayeshangazwa na mwili
wake kuendelea kupungua bali hata Watanzania wote wamekuwa wakiibua maswali mengi kwenye mitandao ya kijamii.

"Halafu nimekuwa mdogo kila siku nazidi kuwa mdogomdogo. Hilo suala linawachanganya Watanzania wengi," aliandika Diamond Platnumz.

View attachment 2424879
Yupo na zuchu , akiwa na tipw tipwa anakuwa tipwa Sasa hivi ni yuponakimbau mbau lazima awe kimbau mbau
 
Back
Top Bottom