Diamond Platnumz ashangaa mwili wake kuendelea kupungua

Watu wa nyuma ya pazia wazee wa free... vijiwe vya kahawa wanasema halisi yupo kuzimu, imebaki kopi tu au box kivuli, halisi walishamchukua.
Sale your soul die young.
 
Attachments

  • Screenshot_20221124_083357.jpg
    Screenshot_20221124_083357.jpg
    52.3 KB · Views: 18
Mali usizofuraha nazo za nini. Mali ya tajiri ufaidiwa na masikini. Chek house girl na boy wa matajiri wanavyonona huku matajiri wakiisha afya kwa stress za kukosea masharti
 
Kutokana na baadhi ya mashabiki na Watanzania kwa ujumla kushangazwa na muonekano wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnum, kwa mara ya kwanza amezungumzia kuhusu muonekano wa mwili wake akisema kuwa hata yeye haelewi sababu za kupungua.

Diamond Platnumz ameyasema hayo katika mtandao wa Instagram huku akionesha kushangazwa kutokana na kuendelea kupungua mwili wake kadiri siku zinavyokwenda. Alieleza kuwa si yeye pekee anayeshangazwa na mwili
wake kuendelea kupungua bali hata Watanzania wote wamekuwa wakiibua maswali mengi kwenye mitandao ya kijamii.

"Halafu nimekuwa mdogo kila siku nazidi kuwa mdogomdogo. Hilo suala linawachanganya Watanzania wengi," aliandika Diamond Platnumz.

View attachment 2424879

Every thing has an end
 
Nilidhani nimeona pekeyangu. Kumbe hata yeye anajijua.
 
Akapime ngoma au cancer ya kongosho,,
Hata steve job alishangaa anakonda tu, kumbe cancer inamla pole pole
Ila cancer ugonjwa mbaya Sana maana unakukula polepole mpk uje uigundue unakuta ipo stage 3 au 4 ambayo kupona ni majaaliwa ya mwenyezi Mungu. Chadwick wa black panther nae alianza hivihivi kukonda kumbe shida cancer.
 
Back
Top Bottom