kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Hajawah kunenepa mwanetu. Atulize Boli tunamfuatilia YUTYUBU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh wakili 😆😆😆😆Yawezekana kwakuwa hali kitimoto na bia!
Awahi fasta kujisalimisha kabla awajamkanumba wale watu sio poa kabisa hawana cha kupoteza.Labda kuna sharti analokosea!
Kwani miguu ndo inatia au kulipa bills? Tunaangalia show na pesa tuUkitaka ukweli huyu jamaa ana miguu mibaya wanawake wanatustahimilia sana
Sure thing,mana sijawah skia ame take a break miaka yote hiyoAjipe likizo kama miezi 2
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila yule hatasahau alijua wamekani wanataka sukariUnategemea yule binti aliyeenda show akakuta watu 8 asitumie madawa kwa ile hali?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Madawa ya kulevya
Sawa. Sikuisikia hii. Lini ilikuwa?U.S.a
Diamond hajawahi kuwa na mwili hata kidogo labda aseme amepungua kidogoAlikuaga na tunyama nyama kipindi flani
Hii inaweza ikawa kweli ujue ngoja nirudie tena kusomaUkiwa napesa unakosa hamu yakula. hasa Kama ukiwa bachela
Kitambi ndio kunawili? Kitambi ugonjwa mkuuUmenikumbusha wakat nipo chuo nilkuwa natumia sana hvyo vitu kila wkend nilinawili hatar nikawa hadi na kakitambi na mkono ukawa mkubwa,
Kutokana na baadhi ya mashabiki na Watanzania kwa ujumla kushangazwa na muonekano wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnum, kwa mara ya kwanza amezungumzia kuhusu muonekano wa mwili wake akisema kuwa hata yeye haelewi sababu za kupungua.
Diamond Platnumz ameyasema hayo katika mtandao wa Instagram huku akionesha kushangazwa kutokana na kuendelea kupungua mwili wake kadiri siku zinavyokwenda. Alieleza kuwa si yeye pekee anayeshangazwa na mwili
wake kuendelea kupungua bali hata Watanzania wote wamekuwa wakiibua maswali mengi kwenye mitandao ya kijamii.
"Halafu nimekuwa mdogo kila siku nazidi kuwa mdogomdogo. Hilo suala linawachanganya Watanzania wengi," aliandika Diamond Platnumz.
View attachment 2424879
Mond Benzi [emoji16][emoji16]
Nilidhani nimeona pekeyangu. Kumbe hata yeye anajijua.Kutokana na baadhi ya mashabiki na Watanzania kwa ujumla kushangazwa na muonekano wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnum, kwa mara ya kwanza amezungumzia kuhusu muonekano wa mwili wake akisema kuwa hata yeye haelewi sababu za kupungua.
Diamond Platnumz ameyasema hayo katika mtandao wa Instagram huku akionesha kushangazwa kutokana na kuendelea kupungua mwili wake kadiri siku zinavyokwenda. Alieleza kuwa si yeye pekee anayeshangazwa na mwili
wake kuendelea kupungua bali hata Watanzania wote wamekuwa wakiibua maswali mengi kwenye mitandao ya kijamii.
"Halafu nimekuwa mdogo kila siku nazidi kuwa mdogomdogo. Hilo suala linawachanganya Watanzania wengi," aliandika Diamond Platnumz.
View attachment 2424879
HakikaUkiwa napesa unakosa hamu yakula. hasa Kama ukiwa bachela
Nadhani washapata muongozo.Mambo yake muachieni mwenyewe...
Ila cancer ugonjwa mbaya Sana maana unakukula polepole mpk uje uigundue unakuta ipo stage 3 au 4 ambayo kupona ni majaaliwa ya mwenyezi Mungu. Chadwick wa black panther nae alianza hivihivi kukonda kumbe shida cancer.Akapime ngoma au cancer ya kongosho,,
Hata steve job alishangaa anakonda tu, kumbe cancer inamla pole pole