Diamond Platnumz ashangaa mwili wake kuendelea kupungua

Leo ni umuongelee asante kwa saport
 
awe makini na zuchu, atakuwa anamnyonya damu yule
 
Khaaas ana stress fulani hivi kwenye investments zake na life kwa ujumla
 
Bangi bangi bangi bangi bangi,hiyo kitu sio poa maana inafyonza mwili na inaleta njaa na hata ukila hunenepi.
 
Bangi bangi bangi bangi bangi,hiyo kitu sio poa maana inafyonza mwili na inaleta njaa na hata ukila hunenepi.
Hapo mkuu umetupiga na kitu kizito ebu pitia comment yako upi alafu jiulize ulichoandika ni sahihi
 
Hapo mkuu umetupiga na kitu kizito ebu pitia comment yako upi alafu jiulize ulichoandika ni sahihi
wala sibahatishi ninachoongea,nina experience na hii kitu na watu wanaonizunguka wanaotumia marijuana,bangi inakondesha mkuu acha kabisa.ninawafahamu watu kama wanne walikuwa na miili iliyonawili ila walipoanza kutumia bangi wamebaki skeleton
 
Likonde tu na lizidi kukonda sana kwanza limetuasi sisi Me kwa kutoboa pua [emoji35]
Kauli hiyo sio ya busara sababu kila mtu ana haki ya kuishi anavyotaka!!!!!Sio lazima watu wote waishi kwa imani au mtazamo unaoamini wewe ni sahii!!!Binadamu tuna kawaida ya kua na mapungufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…