Diamond Platnumz badili mwenendo before it’s too late!

Kalia kidole 🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿
 
Huo ni ukweli mchungu, mwamba alianza kwenye upunda na sasa kaamua alambe kabisa, wanavyoanza wanasema wanapandisha energy wakishakua addicted ndio vile tena....
Wasi wasi wangu asije akamuharibu na kale kabinti
JAmaa ukimwangalia vizuri, huhitaji hata daktari kuthibitisha, dawa zimemkolea yuko half-way akiongeza speed kidogo mwendo anaumaliza.

Zuchu?
Unahisi yuko salama hadi sasa?
 
Huyu ni mkubwa kuliko hao wote, ni hasara kubwa kumpoteza ndio maana waungwana tunapaza sauti abadilike ingali mapema.
 
Asante sana.
 
Kumbe watu wenye akili bado mpo JF?
Asante.
 
Leo unamwaga madini matupu, umesema ukweli mchungu.
Wanaolisha familia wanageuka wazazi kwa wazazi.
 
Once upon a time jay dee aliimba usiusemee moyo wa mwenzako kamwe. Hakuna mwanaume anayevuka stage ya mapenzi ndo maana hadi wa leo ana kinyongo na mabeto
Aya yako ya kwanza haina ukweli bwana, halafu wala Diamond hana mpango na Zari kihivyo.
Aya ya pili ndio umetisha 👏🏽👏🏽
 
Kwahiyo mkuu na wewe unaweza kutumia madawa ya kulevya ili kuupata utajiri?
Nimekosa kabisa cha kuongea!
 
JAmaa ukimwangalia vizuri, huhitaji hata daktari kuthibitisha, dawa zimemkolea yuko half-way akiongeza speed kidogo mwendo anaumaliza.

Zuchu?
Unahisi yuko salama hadi sasa?
Nasikitika mimi nimekosa huo utaalamu, Ndio maana nimeshindwa kuamini miaka yote hii mpaka nilipopata uthibitisho juzi!
 
Badilika Diamond
 
Acheni ulozi, madawa hata trump anatumia. Kuna madawa classic hayana madhara sio hayo wanaotumia watoto wenu huko kinondoni
Tatizo mtu mweusi akipokea jambo anapitiliza, wenzetu hawawi addicted sababu wanatumia kiasi na kwa sababu maalum

Unaweza kuona Tramp anatumia kama tiba, wajamaica wameruhusiwa kuvuta bangi ila hakuna machizi, wabongo sasa.

Sasa usishangae Mond pamoja na utajiri na kutumia unga classic kuna siku tutamtia kamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…