YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Kalia kidole 🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿Mtu anapata wapi ujasiri wa kumfuatilia na kumpangia mtu maisha ya kuishi ?
Ikizingatiwa wewe sio Baba ake wala sio mama ake.?
Jiulize swali mmoja tu Kutumia kwake madawa kunaathir nin ktk maisha yako?
Ama akiwa sio mtumiaji wa madawa kunakunufaisha nin ktk maisha yako.?
Yaani mtu unaamka asubuh asubuh na kushusha kitabu kizima cha maneno kwa kumpangia mtu maisha ya kuishi.
Itoshe kusema kama hakuna lote unalofaidika nalo ungeacha kufatilia maisha ya watu.