TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wanabodi,
Ushauri kwa ndugu yetu Diamond Platinum naona sasa taa nyekundu kwake imeanza kuwaka ni kiashiria kwamba mwisho wa muziki wake umekaribia au kama sivyo basi anatakiwe akaboost kidogo mambo kwa babu, itakuwa alijisahau huwa watu wana renew kwa babu kila mwaka.
Kwa sasa naona kama upepo mbaya umempitia na amekuwa na roho ya kutokubalika kila kona hata muziki wake hauendi kivile.Rejea kisa cha baadhi ya watu kutaka aondolewa BET pia kuna shutuma za ku copy na ku paste nyimbo za Wizkidayo kama Essence japo hakuna ushaidi wa kutosha.
Ushauri wangu kwake Diamond mimi kama shabiki wa nyimbo zake kwa sasa ameshafanya mengi sana inabidi ahachane na muziki 2025 atafute jimbo la kugombea au rais wa JMT Samia Suluhu ampe teuzi hata pale wizara ya sanaa, Basata,au BMT waanze kumsogeza taratibu taratibu kwenye siasa. Vinginevyo heshima yake itapotea ni bora aka retire with a crown kuliko kungoja kudharaulika.