Diamond Platnumz mziki sasa inatosha, kastaafu kwa heshima ukimbilie kwenye siasa

Diamond Platnumz mziki sasa inatosha, kastaafu kwa heshima ukimbilie kwenye siasa

Hili ni wazo la kimaskini zaidi ambalo nimepostiwa hapa JF kwa mwaka huu. Koffi Olomide kaanza muziki mwaka 1976 huku mwaka 1986 akiunda bendi yake ya Quartier Latin na hadi leo hii anakimbiza. Diamond bado sana kustaafu muziki.
 
Yule mtu sk hizi hana identity yake 'yeye kama yeye' kwenye fani. Mtu kama Vannyboy ka stick kwenye aina flani ya style yake.
kabisaa bro anaimba chochote ili mradi kinaleta pesa
 
Hv huu mwaka Diamond ametoa wimbo gani ambao inaonekana nyimbo zake hazieleweki? Inaonekana umemfahamu jamaa baada ya kubalehe , Huu ushauri Diamond alipewa 2010 miaka kumi sasa, majungu, fitina na wivu hujenga...mmeshindwa jamaa basi mnataka mumuombe aache Tu mziki sasa
Halafu nyuzi kama hizi hapa jukwaani ni nyingi, zingine times 2011 ,mods inabidi waziunganishe nyuzi zote za namna hii
 
Kwanini wewe kazini kwako mbona mnalipwa mishahara sawa lakini wenzako wana maendeleo makubwa kuliko wewe ?
Kea Nini na wewe usianzishe vyombo vya propaganda Ili upset hadi forbes wakujue? Unadhani kuanzisha vyombo ni sawa na genge la kuuzia kitimoto?
 
Kea Nini na wewe usianzishe vyombo vya propaganda Ili upset hadi forbes wakujue? Unadhani kuanzisha vyombo ni sawa na genge la kuuzia kitimoto?
What the fu..ck is Forbes Africa ?

Humo wamo mpaka kina Ontario, Idriss Sultan, Kayline, Jokate. Relax nigga.
 
Ushauri kama huu Mondi alishawahi pewa miaka 12 iliyopita!!
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Back
Top Bottom