SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Kuna aliyekuja na hizi taarabu mwaka 2010. Diamond yupo palepale. Nyimbo ya mwisho kuachiwa ni mwaka jana, mpaka sasa ina Milioni 70+ views.
Nani mwingine bongo katoa nyimbo ikaifikia? Kawa nominated BET hujasema ni improvement ila kuona haters wanasema atolewe ukaona ndo' bango. Kuna reality show inakuja Netflix jamaa yumo ila hujasema ni improvement.
Chill ndugu. Kibongobongo ukitoboa ndo watu wanakuchukia. Watu wanataka u-hustle nao chini.