Diamond Platnumz mziki sasa inatosha, kastaafu kwa heshima ukimbilie kwenye siasa

Bongo bwana humu wengi hawaujui mziki haswa haya matoto ya 1998. Yan hayo ndio yanakushtua mpk unaon mond aache mziki.

Hv unjua mambo waliyoptia 2pac shakur, B.I.G mnyama, 50 cent , Dr dree , 21 savage huyo diamond ht robo ya matukio y kuktsha tamaa hjawafkia hawa viumbe .

Kanye west kaharibu sana na trump ila yupo mziki is about talk of the town.

Music stars huwa wanaonglewa how u hate nad how they will fail hlf wntoboa.
 
Mawazo yako kinyesi mtu biashara yake music na bado yupo top unamwambie aende kwenye siasa. sasa mkuu wa wilaya au mbunge anakuwa na matatoo mwili mzima au mh anakuwa amesuka
 
JamiiForums-784442557.jpg
 
Diamond kinyumbani kafanya mengi kiasi cha kuwa Brand inayomuingizia pesa hata asipotoa nyimbo

Tukirudi kama international act kiukweli "BADO", Tunamuweka katika Top 10 ya Africa lakini he can hardly make it in top 5 or 3. You see !!

Kingine Jamaa hana "Platnumz sound" maana unaweza msikiliza Davido, Wizkid, Burna Boy au hata hapa home kama Mb Dog or Mr Nice ukajua wana sound yao ila si Diamond.

Diamond amekuwa commercial kiasi cha kuwa copy cat wa chochote kinachotrend hivyo, amebakia kuleta impact katika muziki Commercially ila musically "BADO".
 
Diamond yupi huyo unaesema anashuka na haeleweki?? Nasema hivi kwenye game ya bongo hakuna na kati ya wasanii waliopo hayupo wa kumshusha Diamond labda tusubiri wengine. Na wengine wasipokaza kalio huyu jamaa atakaa hapo juu mpaka MUngu aamue vinginevyo au astaafu na akiacha mziki na game ya bongo inaenda kuwa kama bongo movie.
 
Diamond yupi huyo unaesema anashuka na haeleweki?? nasema hivi kwenye game ya bongo hakuna na kati ya wasanii waliopo hayupo wa kumshusha Diamond labda tusubiri wengine. Na wengine wasipokaza kalio huyu jamaa atakaa hapo juu mpaka MUngu aamue vinginevyo au astaafu na akiacha mziki na game ya bongo inaenda kuwa kama bongo movie.
Diamond sasa hivi hategemei ubora wa muziki au ngoma zake kufanya vizuri.

Tegemeo lake kubwa sasa hivi ni vyombo vya propaganda alivyonavyo.
 
Ahachane ndo lugha gani Sasa? Mbuzi akishiba majani anabeua tu popote bila kujali kuwa anawakera wengine
 
Habari wanabodi,

Ushauri kwa ndugu yetu Diamond Platinum naona sasa taa nyekundu kwake imeanza kuwaka ni kiashiria kwamba mwisho wa muziki wake umekaribia au kama sivyo basi anatakiwe akaboost kidogo mambo kwa babu, itakuwa alijisahau huwa watu wana renew kwa babu kila mwaka.

Kwa sasa naona kama upepo mbaya umempitia na amekuwa na roho ya kutokubalika kila kona hata muziki wake hauendi kivile.Rejea kisa cha baadhi ya watu kutaka aondolewa BET pia kuna shutuma za ju copy na ku paste nyimbo za Wizkidayo kama Essence japo hakuna ushaidi wa kutosha.

Ushauri wangu kwake Diamond mm kama shabiki wa nyimbo zake kwa sasa ameshafanya mengi sana inabidi ahachane na muziki 2025 atafute jimbo la kugombea au rais wa JMT Samia Suluhu ampe teuzi hata pale wizara ya sanaa, Basata,au BMT waanze kumsogeza taratibu taratibu kwenye siasa. Vinginevyo heshima yake itapotea ni bora aka retire with a crown kuliko kungoja kudharaulika.
Haya ndo madhara ya serikali kupiga marufuku ya Bar zisifunguliwe mchana,wahudumu wanakosa kazi za kufanya.
 
Siasa imekua kimbilio la wanaofeli mahala flani kama ushauri wa kujiunga ualimu kwa zamani kwa wanaokosa nafasi ya kuendelea/kuchaguliwa kuendelea na kidato cha tano/ vyuo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Poor reasoning...
 
Habari wanabodi,

Ushauri kwa ndugu yetu Diamond Platinum naona sasa taa nyekundu kwake imeanza kuwaka ni kiashiria kwamba mwisho wa muziki wake umekaribia au kama sivyo basi anatakiwe akaboost kidogo mambo kwa babu, itakuwa alijisahau huwa watu wana renew kwa babu kila mwaka.

Kwa sasa naona kama upepo mbaya umempitia na amekuwa na roho ya kutokubalika kila kona hata muziki wake hauendi kivile.Rejea kisa cha baadhi ya watu kutaka aondolewa BET pia kuna shutuma za ju copy na ku paste nyimbo za Wizkidayo kama Essence japo hakuna ushaidi wa kutosha.

Ushauri wangu kwake Diamond mm kama shabiki wa nyimbo zake kwa sasa ameshafanya mengi sana inabidi ahachane na muziki 2025 atafute jimbo la kugombea au rais wa JMT Samia Suluhu ampe teuzi hata pale wizara ya sanaa, Basata,au BMT waanze kumsogeza taratibu taratibu kwenye siasa. Vinginevyo heshima yake itapotea ni bora aka retire with a crown kuliko kungoja kudharaulika.
Watu banaa
 
Huyu Dogo hawezi shuka,level aliyofika,ameishakuwa CEO,sasa hv yupo kwenye level ya kina Dr Dre,P Diddy,ni mtu anayemiriki lebal,hata asipoimba,kufsnya nae tu collabo,ni pesa tosha,hata 40s hana,tafadhali
 
Diamond kinyumbani kafanya mengi kiasi cha kuwa Brand inayomuingizia pesa hata asipotoa nyimbo

Tukirudi kama international act kiukweli "BADO", Tunamuweka katika Top 10 ya Africa lakini he can hardly make it in top 5 or 3. You see !!

Kingine Jamaa hana "Platnumz sound" maana unaweza msikiliza Davido, Wizkid, Burna Boy au hata hapa home kama Mb Dog or Mr Nice ukajua wana sound yao ila si Diamond.

Diamond amekuwa commercial kiasi cha kuwa copy cat wa chochote kinachotrend hivyo, amebakia kuleta impact katika muziki Commercially ila musically "BADO".
Yule mtu sk hizi hana identity yake 'yeye kama yeye' kwenye fani. Mtu kama Vannyboy ka stick kwenye aina flani ya style yake.
 
Habari wanabodi,

Ushauri kwa ndugu yetu Diamond Platinum naona sasa taa nyekundu kwake imeanza kuwaka ni kiashiria kwamba mwisho wa muziki wake umekaribia au kama sivyo basi anatakiwe akaboost kidogo mambo kwa babu, itakuwa alijisahau huwa watu wana renew kwa babu kila mwaka.

Kwa sasa naona kama upepo mbaya umempitia na amekuwa na roho ya kutokubalika kila kona hata muziki wake hauendi kivile.Rejea kisa cha baadhi ya watu kutaka aondolewa BET pia kuna shutuma za ku copy na ku paste nyimbo za Wizkidayo kama Essence japo hakuna ushaidi wa kutosha.

Ushauri wangu kwake Diamond mimi kama shabiki wa nyimbo zake kwa sasa ameshafanya mengi sana inabidi ahachane na muziki 2025 atafute jimbo la kugombea au rais wa JMT Samia Suluhu ampe teuzi hata pale wizara ya sanaa, Basata,au BMT waanze kumsogeza taratibu taratibu kwenye siasa. Vinginevyo heshima yake itapotea ni bora aka retire with a crown kuliko kungoja kudharaulika.
Haya haya maneno niliyasikia wakati ametoa wimbo wa 'number one' tena yalitamkwa na mganga mashuhuri wa enzi hizo, hiyo wishful thinking uliyonayo kwa kifupi tunaiita 'dua la kuku'.
Utasubiri sana.
 
Back
Top Bottom