Diamond Platnumz mziki sasa inatosha, kastaafu kwa heshima ukimbilie kwenye siasa

Diamond Platnumz mziki sasa inatosha, kastaafu kwa heshima ukimbilie kwenye siasa

Kwa hiyo akiutafuta ubunge ni 100% atapata? Si ungemshauri awekeze kwenye kiwanda cha sukari bei ipungue?
 
Siasa inadharaulika sana TZ ndio maana hakuna maendeleo...siasa ni science sio kama tunavyofikiria
 
Kwa hiyo akiutafuta ubunge ni 100% atapata? Si ungemshauri awekeze kwenye kiwanda cha sukari bei ipungue?
Kama Mwanafa kapata diamond anashindwaje? But kwa ushauri wangu atakiwi kwenda bungeni kwasababu hela anayopata kwenye mziki wake ni kubwa kuliko kazi ya ubunge.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Tanzania tumefikia mahali mtu akiwa maarufu basi watu wanadhani mtu huyo anakuwa tayari kuwa kiongozi wa kisiasa.

Pathetic.
Arnold Alois Schwarzenegger ..Wamerakani walitaka wafute kipengele kwenye katiba yao cha kuzuia mtu asiyezaliwa Marekani hawezi kugombea uraisi ..
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Unaweza kuwa namba moja ila uwezi ukawa namba moja milele.

Inspector haruni anasema "mlikokua ninyi hata sisi tulikuwepo, na tulipo sasa hata nyinyi mtakuja"
 
Domo ni mtu wa majungu inawezekana akaiweza siasa kwani inahitaji watu kama yeye, ila mi namshauri awe star wa kucheza sinema za ngono na wanawake wa pale Tandale na Uwanja wa Fisi atuwekee Netflix tuwe tunaangalia tukiwa na stress zetu.
Amekukosea nini Mond??, maana sio kwa comment hii.
 
Wakati anaanza muziki ulimshauri pia au aliamua mwenyewe? Anyway binafsi si mkubali hata kidogo hasa baada ya kujua kumbe ni ccm.
Kumbe shida si Ubora wake ktk kazi ya muziki,Bali shida ni Chama chake.Ok nimekupata mkuu.
 
Ghetto langu lina soda, juice ndio maana nikakumbia uje uienjoy maisha au ulidhani maana nyingine tofauti?
Sasa wewe ndo umewaza tofauti. Nilielewa hivyo hivyo kuwa soda ipo ghetto na ndicho kilichofanya nifurahi
 
Juzi Diamond amepost teaser ya nyimbo yake mpya, matokeo yake watu wa Nigeria wamemshambulia sana kuwa ame-copy nyimbo ya Wizkid ya Essence, na wamesisistiza kuwa Diamond huwa anacopy nyimbo za Nigeria na kuzifanyia remix 🤣
Kama amekopi na kaimba vizuri shda nini??

Mbona kwenye mpira ukipiga chenga kama ya Messi unasifiwa?
 
Juzi Diamond amepost teaser ya nyimbo yake mpya, matokeo yake watu wa Nigeria wamemshambulia sana kuwa ame-copy nyimbo ya Wizkid ya Essence, na wamesisistiza kuwa Diamond huwa anacopy nyimbo za Nigeria na kuzifanyia remix 🤣
Hii niliona imeanzia mjini Twitter kule
 
Sasa wewe ndo umewaza tofauti. Nilielewa hivyo hivyo kuwa soda ipo ghetto na ndicho kilichofanya nifurahi
Wadada mkisikia ghetto tu mnawaza mengine hapana si kila mwanaume anahiyo tabia ingawa wapo wachache.
 
Back
Top Bottom